Usiombe mwanamke akazimia gheto/magestini

Usiombe mwanamke akazimia gheto/magestini

Mh huyu wakwangu mbona hazimiagi au anazimiaga kwa wengine...
 
Mh huyu wakwangu mbona hazimiagi au anazimiaga kwa wengine...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasi wasi wako tu,

Ila hili suala lisikie kwa mwenzako, siku likikukumba ndo utajua kuwa no body can stop reggae
 
Haahhhaha mtaalamu niambie iyo gest gan kaka makorora au maan noma san kijna
 
Haa haa haa haa asiiii
Et ukajua ndo kaz imekoleaa

Nmecheka,sana aiseeee
 
Back
Top Bottom