Usiombe yakukute yaliyonikuta

Kilichonifurahisha hapa ,ulikuwa na boyfriend 1 na sio wengi.Hali kama hii ikimkuta mtu anakuwa anawaza ni yupi atakuwa baba kama nina mimba?

Hongera sana mkuu kwa kuwa na one love affair not many love affairs.
Ningekuwa na wengi ningekufa presha.
 
You are specialized in reparing broken hearts...

Sura ipo lakini jemedari? Isijeikawa unafumbiwa macho.
sura kama ya avatar tu ila
nitacover na ya mfukoni

maswali gani haya kwanza au hujui hawa wana huruma ??
 
sura kama ya avatar tu ila
nitacover na ya mfukoni

maswali gani haya kwanza au hujui hawa wana huruma ??


Mfukoni ukiwa swafi si ndio wanakukubalia ila wanafumba macho ili kusearch picha le hansome? Haujamsoma cute b ?

Huruma wanayo si ndio maana mleta uzi alishaamua potelea mbali akaanza kujirudisha kimya kimya baada ya safari ya angani kugoma?
 


Basi Tuwasiliane baada ya miezi 9 kupita, sitaki unibambikie litoto la mtu mwingine.
 
Za wanaume pia anazo.
Si ulisikia anajua hadi wanaume wenye vibamia?[emoji12] [emoji12]
Karibu tusherekee pamoja.
 
Wanaume muwe mnawaombe sana Wachumba zenu..

And vice versa..! [emoji41][emoji41]
 
Ndiyo nina hela ya mawazo ndiyo maana bado na fight kila siku naamka saa 11 asubuhi nalala saa 5 usiku.
Umeridhika sasa?
Sihitaji kuridhishwa na wewe!!
Ela uliyo itaja na kusikitika huku ukiwa na kipato kizuri, inatushangaza.

Sababu unazi zieleza bado zinatia shaka!!

Kulala saa 5 ni kwamba ulikuwa unafanya kazu kuanzia saa 11 hadi saa 5 usiku, au hata kama muda wa kazi unaisha saa 10 jion lkn ratiba yako ni kulala saa 5?

Kuwahi kuamka au kuchelewa kulala haimaanishi ndo ku-fight.

Isije ikawa workdone=0
 
Hii ni chai isiyo na sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…