Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Baby Doll

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
4,716
Reaction score
21,530
Hi guys!

Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23] tarehe 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.

Sasa basi, tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini (kwa wakubwa tuu wataelewa).

Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi, ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17].

Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.

Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12].

Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.

Mpaka Jana asubuhi ikawa bado, nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.

Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
hapo nimeshaanza ku-chat na ex naelekea kumsamehe nisije mwacha kumbe nina mtoto wake, mtoto wangu aje akose baba bure!

Mchana nikaenda hospitali kupima, cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa. Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.

Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]. Ilibaki kidogo nizikumbatie, yaani nilirukaruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34].

Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu?

Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri, jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
 
Yan umepata ujauzito badala ya kushukuru unaanza kukasilika Duuuuu

Kuna wenzako kila uchwao wana tafuta mtt try kushukuru kwa kila jambo aitheee
Ni wao mkuu. Kila jambo na wakati wake na majira yake.
Wanaotamani wapo katika wakati na majira yao!!
Kwangu wakati bado japo pia siwezi kutoa nikipata.
 
Wenzio wanaotamani kapata mtoto mpaka wamefika kwa waganga imegonga mwamba sijui wanakuonaje asee
 
Hi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??

Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
Kwahiyo umeamuaje kuhusu huyo jamaa yako, ndo tayari total ban au ataendelea kukugegeda? Naomba majibu nitumie PM
 
Wenzio wanaotamani kapata mtoto mpaka wamefika kwa waganga imegonga mwamba sijui wanakuonaje asee
Usitake kunifananisha Mimi na wao!! Haujui kila jambo na wakati wake?
Kwani nimetoa mimba?? [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Unapanick vibaya.
 
Sipo hapa kuanza kukushambulia why ulizini.

But am here to ask you to take better care of yourself. Both physically and mentally.

Umetoka kwenye mahusiano. Take a break and learn from your past ujue what you want next and you heal if you are hurting.

Jilinde kutokana na unwanted pregnancies. You are still young, believe me you wouldn't want to go down the abortion lane.

Tumia kinga and stay safe.
 
Usitake kunifananisha Mimi na wao!! Haujui kila jambo na wakati wake?
Kwani nimetoa mimba?? [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Unapanick vibaya.
Umefurahi ulivyokosa mimba, Je wakati ukifika ukakosa kweli inakuwaje maana siyo kwa kufurahi huko
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
 
Ishanitokea sana. Miaka hiyo na hata sasa japo nimeolewa. Unaweza ukamuahidi Mungu ukiona siku zako hauzini tena.
Hapo ukute watoto bado wadogo halafu unahisi mdogo wao yupo njiani. Au upo kwenu na uliyempa bado ni mwanafunzi. UTAKESHA
 
Kwahiyo bado una hasira naye mpaka leo?maana kama zipo basi zitakuwa za kutegeneza maana ulishaanza kumsamehe..
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
Hahahahhahaha unajua Demiss una shida wewe si bure. Eti lina sura mbaya. Sipati picha ulivyolala naye lazima ulijifunika sura na mto.
 
Hahahahhahaha unajua Demiss una shida wewe si bure. Eti lina sura mbaya. Sipati picha ulivyolala naye lazima ulijifunika sura na mto.
Nilikuwa mpaka nilewe pombee jaman likinipapasa nasikia hasira kwahiyo anajua nikienda kwake pombe za kutosha bila hivyoo khaaa hata aninyonye chini siloii maana silipendi
 
Back
Top Bottom