Usiombe yakukute yaliyonikuta

Usiombe yakukute yaliyonikuta

Hayo mambo hutokeaga sana hasa kwa watu ambao mzunguko upo kamili ikitokea umepitiliza kidogo na unajua uliyofanya basi unatamani ht ukienda chooni uchokonoe na kijiti vitoke lkn wapi.. Hali huwa mbya sana hiyo alfu unajikuta na dalili za hedhi zinakata eeeh na usingiz usiku unapaa. Ikitokea,! unajiapia kwa Mungu hutakaa urudie tena, cha ajbu ikishaisha tu hata hukumbuki tena ahadi hyo na Mungu. Mmh mambo magumu haya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Natamani yangekukuta halafu baby hataki mazo ndio story ingenoga.
 
Ishanitokea sana. Miaka hiyo na hata sasa japo nimeolewa. Unaweza ukamuahidi Mungu ukiona siku zako hauzini tena.
Hapo ukute watoto bado wadogo halafu unahisi mdogo wao yupo njiani. Au upo kwenu na uliyempa bado ni mwanafunzi. UTAKESHA
yeuuuwi
 
Mama mkwe na wewe yameshawahi kukuta?

Sitasahau nilienda kupima vipimo vya magonjwa yetu nikasema nikikutwa salama naahidi kuanzia sasa ntakua kasisi, paroko, muinjilist, shemasi, fwaza, muasham, kadinali na nikakamia hatua inayofuata ni kuanza mafunzo ya upapa.

Baada ya majibu, hata sikukumbuka jina la mchungaji wangu..hahahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lol umejua kunichekesha jmn!
 
Wewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman nimecheka hata Mimi iliwahi tokea miez 4 kila mwez nikawa naenda hospital kipindi hicho Niko ndent yaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo hutokeaga sana hasa kwa watu ambao mzunguko upo kamili ikitokea umepitiliza kidogo na unajua uliyofanya basi unatamani ht ukienda chooni uchokonoe na kijiti vitoke lkn wapi.. Hali huwa mbya sana hiyo alfu unajikuta na dalili za hedhi zinakata eeeh na usingiz usiku unapaa. Ikitokea,! unajiapia kwa Mungu hutakaa urudie tena, cha ajbu ikishaisha tu hata hukumbuki tena ahadi hyo na Mungu. Mmh mambo magumu haya.
Nambariki Mungu kwa kuwa mwanaume[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa mpaka nilewe pombee jaman likinipapasa nasikia hasira kwahiyo anajua nikienda kwake pombe za kutosha bila hivyoo khaaa hata aninyonye chini siloii maana silipendi
kwa nn ulikua unampa na humpendi??
 
Hi guys!!!
Mwenzenu kilichonipata,[emoji23] [emoji23]
Tareh 15 mwezi uliopita nilimwacha aliyekuwa mpenzi wangu.
Sasa basi tarehe 28 mwezi uliopita ilitakiwa nisafiri kwenda mwezini ( kwa wakubwa tuu wataelewa).
Siku imefika safari haijaanza, nikasema labda kesho, kesho yake wapi ndiyo kwanza hata dalili sioni[emoji17] [emoji17] .
Ikafika tarehe tatu nikasema hapa baby nimemwacha ukute nina chata yake tayari sijui nitafanyaje, kwa kuwa alikuwa bado ananibembeleza nikasema ngoja ninunue preg test nipime kama ipo nimsamehe kama haipo nimlime total ban.
Nikanunua kipimo nikapima kikaonyesha sina, ila sikuamini maana hofu tayari ilishanifanya nihisi nina dalili za ujawepesi[emoji12] .
Nikahisi nimekosea kupima, nikaenda kununua vingine viwili, na kile cha mwanzo vikawa vitatu nikapima majibu yakaja yale yale.
Mpaka Jana asubuhi ikawa bado.
Nikaingia Google nikagundua vile vipimo huwa havisemi ukweli % zote.
Nikaamua kununua vingine vi 3 makampuni tofauti, majibu yakawa yale yale,
Hapo nimeshaanza kuchart na ex naelekea kumsamehe, nisije mwacha kumbe Nina mtoto wake mtoto wangu aje akose baba bure!!!.
Mchana nikaenda hospital kupima cha ajabu nao kipimo wanatumia vya aina ile ile.
Nikarudi nyumbani nimesinyaa.
Hapo tumbo linauma siku mbili kama naingia hedhi lakini siingii ila nikaambiwa ni dalili moja wapo ya ujauzito.
Nikafika nyumbani nikalala kuamka mwezi huo hapo nauona[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] .
Ilibaki kidogo nizikumbatie yaani niliruka ruka kama vile nimeshinda BIKO yani.
Ila sasa hela nilizotoa kununua hivyo viupuuzi zinaniumaje[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34] .
Nani mwingine aliwahi kukutwa na hii kitu??

Wale team watakatifu wa "kwa nini ulizini kabla ya ndoa", sitaki ushauri jamani sitaki kupangiwa matumizi. Na sijakoma japo niliahidi kukoma.
[emoji3][emoji3]
 
Kama usingekuwa huu uzi leo mwanangu wa kiume Geofrey ningem badilishia kufuli la chumba chake

Eti katia mimba tena na huyu ni mtoto wa nne kwangu kila mmoja ana mama yake

Nilindaa mahali mwisho wa siku niliwait wakina madomola tukailewea kwenye kindi kisa huu upuz

Hakuna aibu unawaalika wazee unawambia wiki ijayo tukatoe mahali

Halafu katikati ya maandalizi mabinti wawili wanakuja wanadai mimba ni ya kijana wako

Inauma mnoo.
Kama kuna mzazi nadhani ananielewa namanisha nini
 
Back
Top Bottom