Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
1. Wanawake wengi wanaojiuza
2. Housegirls & houseboys
3. Mamantilie na babantilie
4. wahudumu mahotelini/lodge na maofisini. just to mention a few.
5. wahudumu salon za kiume & massage parlor
6. Wahudumu Mahotelini/migahawa/bar etc
Kuna clip moja nimeiangalia sana youtube, nimejifunza kitu kimoja cha muhimu sana kwenye maisha kwamba, the way we need to treat the above mentioned groups of people, tunatakiwa kutumia ubinadamu wa hali ya juu kuliko hata tunavyowatreat watu wenye kipato na kisomo. Hii ni kwasababu hawapendi kuwa hivyo walivyo na tukiwaonea hawana la kufanya bali kusikitika mioyoni na sikitiko la mtu asiye na msaada huwa linafika kwa Mungu.
Ukiona binti anajiuza, sisi sote kama wanaume tumeshawahi kuokota malaya wanaojiuza mara moja au nyingine, and the way tunavyowatreat is as if sio binadamu wa kawaida, labda tunaona ni watu wenye dhambi, au wasio faa. lakini tunasahau kwamba Maria Magadrena Malaya mkubwa ndiye alipokelewa na Yesu akasamehewa dhambi na ni maarufu kuliko watu wengi walioishi kipindi kile.
The way tunavyowatreat housemaids majumbani kwetu, ni kama sio watoto wa binadamu wenzetu vile. fikiria kama angekuwa mwanao anakuwa treated namna ile unayomtreat kama second class na mtu mwingine ungejisikiaje? bahati mbaya sana, wengine ukifuatilia historia yao hawana wazazi au wazazi walio nao ni masikini kuliko hata wao wenyewe kwa huo mshahara unaompa kwa mbinde.
Wahudumu wa migahawani, wahudumu wa bar n.k, wengi wamepitia mengi hadi kufikia hatua kuamua kufanya hiyo kazi.
Kuna binti mmoja ameeleza namna alivyoishi na HIV kwa muda mrefu, the way she was treated by others, na namna alivyoamua kwa hasira kuanza kuambukiza wanaume rundo kwasababu ya rejection, namna alivyokuwa anateswa na wanaume wanaomnunua, inaumiza kusikiliza. na ni mambo yanayotokea kweli. hebu ninyi mliowahi kuchukua prostitutes, kumbukeni vile mlivyowafanyia namna mlivyowasulubu halafu fikiria angekuwa mtoto wango anafanywa vile ungejisikiaje?
Mtu kuamua kuuza mwili wake ni kwamba amefikia hatua ya mwisho, amini usiamini kwasababu ni kitendo cha aibu na kupoteza utu na kusacrifice maisha kwasababu anajua kuna magonjwa na anakutana na watu hata hajawahi kuonana nao majambazi wachawi etc, wengine wanafanya hivyo kwasababu walishindwa kwenda shule kwasababu wazazi wao walifariki akakosekana mtu wa kuwasomesha (kama wewe unavyoweza kufariki watoto wako wakasambaratika kwasababu hata ndugu zako hawatawakumbuka), wakaona hamna namna ya kuishi, wakiingia tu huko ndio wanakuwa nunda hivyo. kuna wengine wamekuja mjini kama housemaids, wakateswa na kuwa abused tofautitofauti mwisho wa siku wakaamua kwenda mtaani, na wewe ambaye Mungu amakupa nafasi unakula vizuri na watoto wako unatake advantage badala ya kuwasaidia unawasulubu na kuwafanyia vitendo vya kuondoa utu wao. Mungu hajakubariki ufanye kwa wanadamu wenzio hayo unayoyafanya, kumbuka hilo.
Kifupi wandugu, do to others what you would like other people do for you. hiyo ndiyo principle ya haki ya Mungu ambayo inafanya kazi hadi leo hii. Kuna sheria kubwa sana mbili ambazo Mungu hajawahi kuzipuuzia ukiondoa nyingine, simaanishi amri kumi kwenu ninyi wafuasi wa musa...msije na povu hapa. kuna zaidi ya hizo.
1. Mpende jirani yako kama nafsi yako
2. Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema (bashite, sabaya, Muro etc mifano michache)
3. God never shares his Glory!
Kumpenda jirani/mwanadmau mwenzako na umfanyie vile ambavyo wewe ungekuwa kwenye nafasi yake ungependa watu wakufanyie. kama wewe ni tajiri, ukimwona masikini badilisha nafasi ungekuwa masikini ungependa tajiri akufanyie nini, kama wewe una elimu jifanye huna na ungependa wenye alimu akufanyie nini, kama wewe ni boss, jiweke kwa servant ungependa boss akufanyie nini, n.k, n.k, ..Usije hata siku moja ukatake advantage ya nafasi yako iliyo bora kunyanyasia wasio na nafasi hiyo kwasababu Mungu atakushusha....jua upo hapo ulipo kwa neema tu hata yule unayemdharau angeweza kuwa wewe na wewe ukawa yeye, and as long as we still live, unaweza kuchage nafasi siku moja.
MUNGU HAJAKUBARIKI UWE HIVYO ULIVYO ILI UWAFANYIE AU USIWAFANYIE WENGINE VILE AMBAVYO USINGEPENDA KUFANYIWA. umefanya maovu mengi lakin Mungu amekurehemu bado anakupa pumzi na anategemea uwapende wanadamu wengine na usiwafanyie mabaya au kuwashusha kwasababu mpaji ni Mungu anayeweza kumpa au kumnyima mtu vile apendavyo na amini usiamini, Mungu akiamua usipate hautapata, akiamua ushuke uwe masikini kabisa toka kwenye utajiri wako anaweza, akiamua pamoja na umasikini wako uwe tajiri anaweza....kumbuka Mungu anao uwezo kumtoa masikini jalalani na kumpeleka kwenye meza akae na wakuu na mnyonge kutoka mavumbini na kumketisha pamoja na wakuu wakakirithi kiti chake cha enzi.
Mungu akikuinua, usiwe na kiburi, kwanza mkumbuke Mungu aliyekupandisha, pili acha umungu mtu, ukifanya kosa hilo huwa ni just a matter of time utashushwa kabisa...kuinuliwa kwako usinyanyase nafsi za watu hasa wanyonge, kwasababu watalia kwa Mungu wao atawasikia na atashuka kuja kuwatetea, Mungu amekuinua sio ili usifiwe na kuabudiwa bali ili Mungu atukuzwe kwa wewe.
Mwisho, Mungu huwa hakubali mwanadamu au kitu chochote kiibe utukufu wake. ukimsaidia mtu, ukiinuliwa, ukifaniniwa, ukifanya chochote fanya juu chini utukufu uende kwa Mungu na wanaotaka kukushukuru waambie msinishukuru mimi mshukuruni Mungu aliyenisaidia. ukisifiwa na wanadamu tayari umekwishapata thawabu yako na Mungu hatakubariki kwasababu utukufu haujaenda kwake. pia ninyi viongozi msipenda kuwa miungu watu, kuna viongozi wengine hadi wanatungiwa nyimbi za kusifiwa kabisa na hawaoni shida, nyimbo hizo anatakiwa kutungiwa Mungu aliyeshika uhai wenu, sio ninyi. ninyi sio lolote si chochote bila Mungu.
fuateni ushauri huu mtakuja kunishukuru.