Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

Lazima hata wewe utakuwa unamdharau au kumnyanyasa mwengine tu. Ndio hivyo ilivyo wewe ukidharauliwa na kumnyanyasa unamaindi lakini ukumbuki unavyofanya hivyo hivyo kwa wengine. Kwa iyo potezea tu na songa mbele kinachofarij huyo anyekunyanyasa na kuku dharau naye pia kuna wengine anamfanyia hivyo na huyo anamfanyia hivyo naye vilevile
(Lazima hata wewe utakuwa unamdharau au kumnyanyasa mwengine tu.)

sio kweli, hauna uhakika na unacho kisema, pili hauja fanya reserch ya kutosha, ukitaka kuthibitisha hili ninalo kwambia tembelea madereva wanao waendesha ma Boss, katika Ofisi mbali mbali au wanao endesha Malori, utakubali mwenyewe au kama kuna dereva yeyote aliye wahi kuendesha lori au ku mwendesha Boss aje atoe ushahidi hapa. NB: madereva wa serikali hawa husiki hapa. Sababu sina uzoefu nao.
 
Back
Top Bottom