Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

Unamkumbuka Rahabu wa kwenye Biblia?, Unamkumbuka yule mwanamke mdhambi aliyelia na kondosha machozi yake miguuni pa Yesu??. Naomba tuanzie hapo kwanza.
actually, umalaya ni dhambi, na wanatakiwa kusaidiwa, kwasababu sio umalaya tu ndio dhambi, kuna watu wana dhambi kuliko malaya lakini kutwa wamekalia kunyoosha vidole kwa malaya. kwa Mungi usijihesabie haki sana, hao uliowataja pamoja na umalaya wao lakini wamekuwa historia kwenye Bible.
 
Japo nimesoma kidogo ila naomba tujifunze jambo kuwa kipindi kile hata Mungu alijifanya mjinga ndiyo maana kuna wakati hata ndugu walizini pamoja na haikuwa hatari kubwa although was still ni dhambi.

Hawa wa sasa Mungu siyo mjinga kiasi hicho aseee, dunia tayari imepevuka sana, mtu kuingia kwenye biashara haramu alafu itumike kinga ya kumuonea 'soni' si sahihi hata kidogo.

Now (mfano) badala ya kujiuza anaweza kuuza kahawa au soksi!.
 
Anauzia wapi,mtaji anao,wote watauza kahawa au ssoksi?
 
Ukahaba ni matokeo ya jamii kushindwa,kuanzia serikali,taasisi za dini na mtaa
 
Ulichosahau ni kuwa kuna Sababu nyingi zinazoweza kupelekea mtu had kuwa hvyo na baadhi zinasababishwa na jamii yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…