Usione watu hawa wapo hivi, hawajipendei

(Lazima hata wewe utakuwa unamdharau au kumnyanyasa mwengine tu.)

sio kweli, hauna uhakika na unacho kisema, pili hauja fanya reserch ya kutosha, ukitaka kuthibitisha hili ninalo kwambia tembelea madereva wanao waendesha ma Boss, katika Ofisi mbali mbali au wanao endesha Malori, utakubali mwenyewe au kama kuna dereva yeyote aliye wahi kuendesha lori au ku mwendesha Boss aje atoe ushahidi hapa. NB: madereva wa serikali hawa husiki hapa. Sababu sina uzoefu nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…