Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
"Sauti kutoka Chato"Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Kwa hizi updates na hizo planned press conferences nawapa kongole CCM...kweli mmejipanga, safi sanaWapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari....
Hoja hamna mmebaki kudhihaki.Huyu ambaye njaa imempanda kichwani (Prof. Lipumba)
Wanamkadhi madaraka nani au unaota?Kwani kuna kingine cha kusikiliza zaidi ya Kwamba uchaguzi ukiwa huru na haki ccm wajiandae kukabidhi madaraka asubuhi kabisa?
Umesema tusikose kumsikiliza Komedian Polepole?Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Sijaona ujinga hapo
Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari...
Si hadi uwe na akili, hivyo ulivyo huwezi kuonaSijaona ujinga hapo
afadhali nisikilize Inzi wanavyovuma chooni uswazi!Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Sijaona ujinga hapo
Chama makini, chama kinachojielewaKwa hizi updates na hizo planned press conferences nawapa kongole CCM...kweli mmejipanga, safi sana
Wamependeza.
Polepole ni sheeeda. Yuko vizuri yule jamaa"Tutawafundisha adabu"- Comed Polepole