Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #61
"Kuna mgombea kakimbia nchi na amesindikizwa na mabeberu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipange kupitwa.
Chama cha Mbowe kimewakosea Sana waandishi wa habari. Wakifukuzwa ndani ya dakika 15 wasiwepo uwanjani. CCM inalaani vitendo hivyo vinavyovunja kanuni, sheria na Uhuru wa habari.
Hii inatoa Ishara mbaya kwa vyama hivi ambavyo havijashika hata hatamu
Huyu huyu hapa?Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipange kupitwa.
unoma wa huyo komredi kipepe ni upi labda kwa mfano?Polepole ni sheeeda. Yuko vizuri yule jamaa
Hoja hamna mmebaki kudhihaki.
Ajenda hamna mmebaki kudhihaki.
Oktoba 28 ni mwisho wenu (hamtapata mbunge na mwakilishi hata mmoja).
Jisomee mwenyewe madini anayotemaunoma wa huyo komredi kipepe ni upi labda kwa mfano?
anasema hakuna mfumuko wa bei.Jisomee mwenyewe madini anayotema