Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Wapendwa,

Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.

Tafadhali usipange kupitwa.

CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....

Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbinguni.
 
Chama cha Mbowe kimewakosea Sana waandishi wa habari. Wakifukuzwa ndani ya dakika 15 wasiwepo uwanjani. CCM inalaani vitendo hivyo vinavyovunja kanuni, sheria na Uhuru wa habari.
Hii inatoa Ishara mbaya kwa vyama hivi ambavyo havijashika hata hatamu

CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.
1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....

Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbingun
 
Wanatuhumu kuwa walizuiwa kutumia helikopta. Hawa watu ni waongo na tunashukuru kuwa mamlaka ya usafiri wa anga. Tangazo Lile lilikuwa na hila. Siku hiyo wanaposema walizuiwa hawakuwa na ratiba ya safari. Walikurupuka kwani aliyetakiwa kurusha ndege hiyo alikuwa na umri isioruhusiwa kisheria.

Tunaujulisha umma kuwa siasa hizi za janjajanja hazina nafasi.

CCM imekljikita kwenye kufafanua wapi tulipotokea, tulipo na tunapoelekea. Ni mwendo wa "facts and figures"
 
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, amefanya kazi kubwa ya kudhibiti mfumuko wa bei. Hapa tumefanya kazi kubwa. Rais Magufuli amefuta Kodi kwa mishahara ya laki tatu kushuka chini.
 
Nidhamu katika makusanyo na matumizi ya serikali uako juu mno. Kila yatehe 20 "kameseji lazima kaingie"
 
Amemponda suala la Lissu kuponda kuwa watanzania hatujui kiingereza. Katika awamu ya tano, kiswahili kimepata nguvu kubwa.
Diplomasia yetu imekuwa Sana. Alipoingia tuu alikuwa mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki. Mara paap! mwenyekiti wa SADC. Hii imefanya Tanzania kupaa Sana.

MSD imeibuka kidedea na sasa MSD imepewa hadhi ya kusambaza dawa zote kusini na mashariki.
 
Rais Magufuli ndio Rais pekee aliyejenga viwanja vya ndege vingi. Kwa kujenga na kukarabati. Viwanja zaidi ya 11.

Uwanja wa ndege unaendwa kujengwa Singida. Geita ni nkoa mpya, haukuwa na uwanja wa ndege, kuna dhambi gani hapo?

Magufuli ameifungua Mwanza kwa dunia. Uwanja wa ndege huo umekuwa uwanja wa kimataifa. Uwanja wa ndege wa Chato ni uwanja wa kimkakati. Tumeua ndege wawili kwa jiwe moja
 
Tunageuza mapori kuwa mbuga za wanyama. Pori haliingizi pesa Ila mbuga za wanyama zinatuingizia pesa. Wapotoshaji wapuuzwe
 
Amewasisitiza watanzania kuwa ikifika tarehe 28/10/2020 wamchague John Pombe Joseph Magufuli
 
Kwahiyo?.Ikiwa hivyo ndo nchi itakua kama ulaya au dunia itaisha?'
Hoja hamna mmebaki kudhihaki.

Ajenda hamna mmebaki kudhihaki.

Oktoba 28 ni mwisho wenu (hamtapata mbunge na mwakilishi hata mmoja).
 
Back
Top Bottom