Usipate changamoto kusajili kampuni au jina la Biashara BRELA tena

Usipate changamoto kusajili kampuni au jina la Biashara BRELA tena

daydreamerTZ

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
146
Reaction score
233
Nina imani nitakuwa mkombozii Kwako kwa sababu nina uzoefu wa masuala yote ya kusajili biashara (kama kampuni au jina la biashara) kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.

Huduma zitolewazo;
1. Kusajili Kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and article of association
4. Logos, business cards posters n.k
5. Makadirio ya Kodi
6. Kuandaa company profile n.k

Tembelea ofisi yetu ya biashara Day Dreamer Tz Consultancy - Google Search

Kwa mawasiliano zaidi Piga/WhatsApp 0629706263.
 
habari yako nimesoma thread yako mimi pia ni consultancy kwa muda zaidi ya muongo mmoja sasa ukihitaji saport ya kukimbiza kazi tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi
 

Attachments

  • VID_88740918_232404_910.mp4
    1.8 MB
  • IMG-20191030-WA0029.jpg
    IMG-20191030-WA0029.jpg
    51.8 KB · Views: 43
habari yako nimesoma thread yako mimi pia ni consultancy kwa muda zaidi ya muongo mmoja sasa ukihitaji saport ya kukimbiza kazi tafadhari usisite kuwasiliana nasi kwa namba hizi
Wewe ni consultant au consultancy?
 
kama kuna mwenye kazi za brela,tic,osha,wcf au yoyote unayoiona ni kichomi na mteja ana presha ya juu we tuwasiliane lakini tunamkataba lazima tuingie mimi na wewe pia kama unajua una connection ya kazi hizi njoo na terms zako za kufanyia kazi.
 
Ahsante kwa taarifa
Mchakato wa kusajili Kampuni kwa Sasa unachukua muda gani
 
usipoteze maana typing error siyo jambo la kutaka kufanya maana kusudiwa iharibike hii ndiyo maana sababu ya wengi kama nyie mnakuwa mwishoni mwa mafanikio kwasababu mnaanza kuangalia kakosea wapi na siyo key success point badirika na wale wanaotumia r au ntu?
Hapana mkuu, hapo nilitaka kujua kama ni typing error au ulikusudia kwa kile ulichoandika.

Mimi naweza kuwa mteja wako, hivyo nilitaka kujiridhisha na umakini uliokuwa nao katika huduma utoazo.

Wateja wengine wako very sensitive kwa kila kile kidogo ukifanyacho. Ukikosea kidogo tu hata kwenye kuandika wanahisi na kazi zao utakuwa ukikoseakosea pia.

Pole kama nitakuwa nilikukwaza mkuu.
 
Back
Top Bottom