1gb
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 2,199
- 2,859
Niandikie point zako zakuafiki ni jibu zako kwa point.Bro kama hukubaliani na mtoa mada bora ukapinga kwa point kulko ivi ulivoandika
Huyo nishamalizana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niandikie point zako zakuafiki ni jibu zako kwa point.Bro kama hukubaliani na mtoa mada bora ukapinga kwa point kulko ivi ulivoandika
swadakta...ni kweli Kwenye biashara kunahitaji usiri Ila sidhani kwa style hyo ya Bei elekezi...
Mana nimejaribu kuchukulia mfano makampuni makubwa apa nchini kama Azam na Metl...afu nikajaribu kulinganisha na ulichoandka naona bado haileti maana.
Haya makampuni makubwa Siri zao zinakuwa ktk uzalishaji na ktk vitabu vyao (mapato na matumizi) Ila sio Kwenye Bei.
Kuhusu coca na pepsi hzo ni substitute goods ni kawaida kwao mmoja Bei akipanda na mwengine demand huongezeka...
So,kwa kifupi ni kwamba mfanya biashara asiogope kutangaza Bei za bidhaa zake kwa wateja wake...kwasababu Bei hutokana na gharama za bidhaa na ubora wake,so mfanya biashara anaejiamini huwa huwa haogopi kupoteza wateja kwa kuwatajia Bei sahihi.
Pia kaa ukijua mfanyabiashara mwenzangu...kuna aina ya wateja tofautitofauti,hao aliowataja mleta mada ni mojawapo ya aina ya wateja...ukiwatreat vibaya ndo umewafukuza hvyo.
Kuna aina nyingi za wateja na sifa zao so ni vizuri mfanyabiashara ukawajua.
Baadhi ya vtu vinavyoweza kuvuta au kufukuza wateja ktk biashara yako ni:-
Ubora
Uaminifu
Usafi
Bei
n.k.....
Mkuu ilikuwa Mwanza , mtaa wa Mohamed karbu na Duka la seedco sa sjajua Kama jamaa bado wapoMkuu nisaidie duka la huyo jamaa nahitaji kununua vifaa vya mziki vya kanisa pia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wala kusikia muungurumo wa radi haimaanishi unauwezo mzuri wa kusikia.When you are near you must make your enemy believe you are far away and vice versa
If you know the enemy and know yourself you need not fear the result of 100 battle
Hzo ndo mbinu za vita.
NB: Kuona jua na mwezi haimaanishi unamacho makali
Broo mpotezee tu!!Bro kama hukubaliani na mtoa mada bora ukapinga kwa point kulko ivi ulivoandika