Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 594
Pumbavu hii ni yako."Profesa Kabudi na Waziri Mpango wanazungumza tu hawataki kusema lakini kama ni pumbavu kwenye simu wametukanwa mno, waulizeni wapo hapa, wananizidi umri lakini pumbavu zinakuja tu harakaharaka zenyewe, ndio ukweli kwa sababu hii kazi sio ya kubembelezana lazima tuipeleke kijeshi" - @MagufuliJP #MwananchiUpdates
Exactly=swadaktaKusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
"Profesa Kabudi na Waziri Mpango wanazungumza tu hawataki kusema lakini kama ni pumbavu kwenye simu wametukanwa mno, waulizeni wapo hapa, wananizidi umri lakini pumbavu zinakuja tu harakaharaka zenyewe, ndio ukweli kwa sababu hii kazi sio ya kubembelezana lazima tuipeleke kijeshi" - @MagufuliJP #MwananchiUpdates
Kusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
No data, no research. No right to speak.Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Hivi kwanini wabongo tunapenda sana kuamini kila kitu tunachokiona/kusikia kwenye mitandao!!? [emoji35] [emoji35]Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu