Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
We huwezi ona me ndo naona nakuombea kila siku ujue Mungu akupe zaidi sana.Mbona hata aijawahi kukusaidia honey?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huwezi ona me ndo naona nakuombea kila siku ujue Mungu akupe zaidi sana.Mbona hata aijawahi kukusaidia honey?
Hujamuelewa mtoa mada ,ishu si kutoa ,ishu ni kutoa cash ,hakuna tajiri anauwezo wa kulea yatima wote wala wajane wote hata akijipiga mnada ,unachotakiwa usijipe obligation yoyote ,mengi alijiwekea kila tarehe fulani anatoa pesa fulani huku anaita mamedia ,hivi unajua bakhresa misaada anayotoa ? anajengea hadi watu nyumba ila yeye hana vya muendelezo au obligation akikuta failia zimepata mafuliko ziko mtaani anajenga nyumba za bajeti ndogo 30 kimya kimya anaita anawagawia kimya kimya anawapa mtaji milion mbili mbili ,anatemana nao .mambo ya kuitwa baba sijui mkombozi hana huo muda ,inamaana siku bakhresa akiyumba hatoi na hakuna wa kulalamika
BRO WANADAMU HAWANA SHUKRANI UNAPOWASAIDIA MSAIDIE MUNGU KWA KUSHUKURU KWAKE KUWA ANGEAMUA UNGEKUWA HAO BASI ,LEO WATOTO WA MENGI UKIACHA MAJANGA YA KUETEWA KAHABA KWENGE MALI ZAO HALALI PIA WAMEPEWA ULIDHI WA KUSAIDIA KUNAKOZIDI UWEZO WAO
Imenena vyema.Kusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
Zitumike pesa za nani?Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
kwaiyo unamzidi nini mengi?Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Sasa alitaka afe na izo pesa ndyo azikwe nazo.
Nina imani hata alizokufa nazo ukijumlisha za ukoo wenu wote mamfiki hata robo yake.
Nime cheka Sana mkuu, maana hicho kiwanda kabisa.Misaada mingine inakuwa kweli au ni kuuza sura tu. Eti Rostam kaisaidia Yanga 300m,hana ndugu wa kuwapa?