Usipende sana kusaidia watu kwa kutumia pesa zako, la sivyo utaishia kufilisika


Haha watoto wa mengi wasivopenda kuonekana kwenye media, sidhani mama watatoa msaada wowote mkubwa wa kifedha kwa jamii, hata wakiutoa nadhani watatoa kimya kimya The only
 
Abundance mentality, lengo la kusaidia ni kukutoa kwenye mawazo ya umasikini, mawazo ya vitu viko vichache vitu havitoshi, ukiwa na mawazo vitu havitoshi yatatokea kwenye maisha yako kutokuwa na vitu vya kutosha. Lengo la choyo ni kukuvutia umasikini kwenye maisha yako. Vitu vingi tunavyotoa ni vya kutumika ukiwa na mwili, ukiwa hauna mwili ni matakataka tu hayana maana. Uko katika mwili furahia maisha, wape na wengine furaha ndio zawadi ya maisha. Huyo mtu anaishi wakati na wewe upo mfurahie msaidie ukiweza mawazo ya choyo ni ujinga wa kuzani unaishi milele katika mwili
 
Hujui kitu ww afu huna hela pia roho mbaya inakusumbua labda nikwambie msaada huwa hausahauriki we jifanye nunda ukidhani utaishi maisha mafupi afu unafikisha hadi 70 ndio utajua ww sio chochote hapa duniani.
 
Sasa hata kama angekufa na Mali zote anazo ndio ingekuwaje sasa!! Si ni bora aliwapa watu wanaendelea kuzitumia? Tuwe na moyo wa kutoa kulingana na kiasi ulichonacho
 
Kusaidia ni inborn character, huwezi kumfundisha mtu kusaidia au kutosaidia. Waache wenye moyo huo waendelee kusaidia. By the way, hizi mali na utajiri tutaviacha tu hapa duniani.
Imenena vyema.
 
Sasa alitaka afe na izo pesa ndyo azikwe nazo.

Nina imani hata alizokufa nazo ukijumlisha za ukoo wenu wote mamfiki hata robo yake.
 
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
Zitumike pesa za nani?
 
Cc: Marehemu Reginald Mengi, alikuwa anapenda kusaidia watu kwa kutumia pesa, lkn tumeona yaliyomkuta, unaambiwa mpaka amefariki alikuwa hana hela, migodi ya dhahabu aliifunga yote, ITV haileti hela, aliishia kubakiwa na Bonite tu
kwaiyo unamzidi nini mengi?
 
Sii kweli kuwa mengi hakuwa na hela,mengi Ana makampuni zaidi ya 100 na assets kibao sio rahisi akose hela na alikuwa anamwaga misaada mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…