Usipite bila kusoma

Mkuu unapatikana wapi,??

Je ofisi zenu zipo na mikoani

Je mnapoteza ng'ombe tu, vp kuhusu pesa??

Gharama zenu ni kiasi gani??

Eti wanataka mahari ya ng'ombe 25 madume😄😄
 
Mkuu unapatikana wapi,??

Je ofisi zenu zipo na mikoani

Je mnapoteza ng'ombe tu, vp kuhusu pesa??

Gharama zenu ni kiasi gani??

Eti wanataka mahari ya ng'ombe 25 madume😄😄
Fika Arusha =makao mapya karibu na ofisi za marangu ndipo ofisi yangu ilipo
 
Tunakodisha Ng'ombe Kwa Ajili Ya Kulipia Kama Mahari, Namna Watakavyopotea Huko Ukweni Niachie mimi. Karibuni🙏🙏🙏
Tupe uzoefu wako katika kazi hiyo,🤔na je unafanya hivyo mikoa ipi au mkoa fulani tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…