Usipite bila kutoa msaada hapa tafadhali

Usipite bila kutoa msaada hapa tafadhali

Dishunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
276
Reaction score
58
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na mwanamke, Namshukuru mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngum sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina MB ya kama inch 6 urefu, na 4.9 unene ,

sijawahi kujiamin hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu, nadhan hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nn MB ndogo, SINA FRAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI,

naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA, NIPO SERIOUS
 
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na mwanamke, Namshukuru mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngum sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina MB ya kama inch 6 urefu, na 4.9 unene , sijawahi kujiamin hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu, nadhan hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nn MB ndogo, SINA FRAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI, naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA, NIPO SERIOUS
Njooo pm unionyeshe... Ndontakwambia haifai au laa
 
MB nilifikiri Mega Bytes huna tukuchangie bundle ufikishe Giga Bytes kumbe unaongelea dushe.

Umeshaathirika kisaikolojia na ukishajaribu tu utashangaa hata haitasimama. Pengine akina dada watakushauri zaidi. Pole!
 
Dah...kwani wewe unafanya shughuli gani? Katika ujenzi wa taifa
 
Ulivyopresent ni kama mtoto, go straight to the point. Mara wakati tunaoga, Mara naogopa kutongoza.

Mwanaume jiamini kwanza halafu eleza kiunagaubaga tatizo ili usaidiwe. Unazunguuuuka
 
jiamin ndugu MB yako ndo saiz ya walio wengi punguza itakuletea hata upungufu wa network.piga nyapu upo vzr japo wengine tupo 8+
 
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na mwanamke, Namshukuru mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngum sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina MB ya kama inch 6 urefu, na 4.9 unene , sijawahi kujiamin hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu, nadhan hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nn MB ndogo, SINA FRAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI, naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA, NIPO SERIOUS
Kumridhisha mwanamke sio lazima uwe NA kitu kama mkono ..mapenz ni sanaa ..unaweza kuwa NA kubwa NA mwenza wako asifurahie vilevile....Muhimu umuelewe mtu wako NA utumie maufundi ......Kila MTU NA MTU wake ...Na Uache kuparamia waliokubuhu ..
 
Back
Top Bottom