Usipite bila kutoa msaada hapa tafadhali

Usipite bila kutoa msaada hapa tafadhali

Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na mwanamke, Namshukuru mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngum sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina MB ya kama inch 6 urefu, na 4.9 unene , sijawahi kujiamin hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu, nadhan hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nn MB ndogo, SINA FRAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI, naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA, NIPO SERIOUS
Achana na fikra zako Potofu eti kuwa na uume wako ni mdogo.Kuwa na uume mdogo sio tatizo tatizo je unaweza kuutumia huo uume wako mdogo unapokuwa upo kiwanjani? Wanawake wengi huwa hawapendi Mwanamme awe na uume mkubwa kupita kiasi kwani unawaumiza munapokuwa kwenye kufanya tendo la mapenzi.Wanawake wanataka ujuwe jinsi unavyofanya tendo la mapenzi aka Sex Style kitandani utakapoweza kumfikishampenzi wako kileleni hawezi kukuacha hakuna haja ya wewe kuwa na uume mkubwa kama wa tembo.
 
Asante sana kk nashukuru kupata ushauri wako
 
Asante sana kk nashukuru kupata ushauri wako
kk ndo nini? andika vizuri kijana, huoni Dokta kakuandikia vizuri hapo? tatizo mnapenda vifupisho ndo maana hata mbolo inakuwa fupi sema hamjui tu. ,, what you do is what you get be carefully
 
Back
Top Bottom