Usipitwe, pitia hapa kujua madhara ya chai na kahawa kiafya

Samahani naomba kuuliza mleta mada kati ya chai, kahawa na pombe hasa bia kipi kinakojoza zaidi na kipi bora? Na ni kipo kinasababisha zaidi kisukari?
 
Mwenye macho haambiwi tazama.......kufa hufi leo ila cha moto utakipata mkuu, utapo pata maradhi utazunguka kwa kila doctor, sikia kuumwa kwa jirani ila yakikukuta maradhi......

Acha vitisho miaka 80 kulikuwa na mtu mmoja yeye ugonjwa wake ilikuwa ni chai tukiwa wadogo tukambatiza jina mama chai alikuwa mpenzi sana wa chai yeye akikutembeleeni anataka chai ukienda kwake muda mwingi anakunywa chai, amefariki juzi akiwa na miaka 90+ na hajakuwa akiuguaugua
 
Huyu atakuwa Msabato ambao kwao karibu kila kinywaji kina kilevi. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Asante nimekalibia kijana ..ubish hauna maana .. nimeona kuna madhara kweli
Yapo kweli, cha msingi hata kama unapenda chai sana unaweza tumia mbadala ukaweka tangawizi, mchaichai tatizo watu wanafikiri ninawatisha lahasha ni kukumbushana tu kwamba kitu hichi madhara yake ni haya....
 
Ni kweli kaka, base on how much you take tea or coffee will count on the impact....

Nimeleta uzi ili watu wajuwe pande zote mbili hususani upande huu wa madhara, mfano mzuri soda pia ina madhara makubwa sana kiafya na ina kemikali nyingi sana ila ukijuwa hilo linakusaidia kupunguza matumizi, tusikariri kwamba on spot u die or see the negative sign immediate after you drink NOT at all
 
Samahani naomba kuuliza mleta mada kati ya chai, kahawa na pombe hasa bia kipi kinakojoza zaidi na kipi bora? Na ni kipo kinasababisha zaidi kisukari?
Nakuuliza swali wewe pia mtu mwenye kisukari ushaona wapi anashauriwa anywe pombe..... Pombe upelekea ukaushaji wa maji mwilini(dehydration) the same to Tea, sasa maji mwilini yanapo pungua huongeza concentration ya glucose mwilini halafu insulini imesizi ku-operate what do you expect mkuu
 
Not the case, halafu fahamu sipo hapo kumtisha mtu its not my concern, i did my part to share its not necessary to take my advice, binadamu tunatofautiana sana interms of biological factors from body immunity nk.... Penda kujifunza sana than to argue...... Nilitegemea baada ya kuona uzi huu ungeenda kufanya zaidi details research than kuniambia nawatisha..
 
Huyu atakuwa Msabato ambao kwao karibu kila kinywaji kina kilevi. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Not at all ni mawazo yako mgando tu, humeshindwa hata kufanya utafiti unaleta mnyambulisho wa kidini
 
Worrying too much is dangerous
You term the word worrying=dangerous

If you could be worrying too much on HIV like this, you would have been at safe side always...
 
Thank God vitu hvi vimenipitia mbali sana tena ghafla tu kumbe najiepushia baadhi ya maradhi!!!asante mtoa mada somo zuri!!!!
 
Thank God vitu hvi vimenipitia mbali sana tena ghafla tu kumbe najiepushia baadhi ya maradhi!!!asante mtoa mada somo zuri!!!!
Karibu my dia, kweli tena ni swala lakuchukua tahadhari na kucheza kwa steps,

Mimi najuwa namna soda ina madhara pia so much kemikali no fruits zinawekwa ila ni Flavour tu but tunakunywa kwa tahadhari not to apply too much soda as drink to cut off thrist
 
Yaani mkuu miaka ya nyuma niliathirika sana na chai na soda,we shangaa mpka ninapokula ugali na chai pmben kwa cku mara tatu namaanisha kila mlo lzma chai iwepo!!!
Hpo kwny soda sasa nikihci kiu bac soda ndo mkata kiu kwa cku nilikuwa nakunywa soda za kutosha tu maji nakunywa glass mbili bac kasheshe ikaanza kila nikienda kutoa haja ndogo mkojo wa njano htr!!mwisho wa cku nashkuru nilipata msaada nikapunguza mpaka kuacha kbsa sasa hvi nakunywa kwa kiac tu kikombe kimoja kwa cku bac soda ndo czitak kbsa nishapata mbadala wa soda, maji!!!
 
hata mimi nilikuwa mbishi sana nikiambiwa kahawa ni sumu nakataa na nimekunywa kwa muda mrefu lakini yaliyonikuta ni makubwa kwa kweli naungana na huyo mleta mada kwamba kahawa ni sumu tena kubwa mnoo nawasihi watumiaji punguzeni wala hili sio hoja ya wasabato hapana ni kwa manufaa yaka kiafya mimi nimepimwa na daktari kabisa nikaulizwa kama natumia pombe nikasema hapana nilipoendelea kuchunguzwa nikaulizwa tena kama kuna kilevi gani natumia kama kahawa nikajibu ndio kweli kahawa natumia sana tangu kuzaliwa nimejikuta matatani kwa miaka hii ya 35 ndio juzi nimeamua kuacha tena kwa masharti ya daktari kwani nilikutwa nina gesi kubwa tumboni iliyonipelekea mimi kutapika hovyo na kukohoa kwani ilini affect hadi kifua kwa hiyo nimeacha. na nilipewa dozi ya madawa makali ya kutumia kujitibu kwa mwezi mzima lakini badala ya kula hiyo dawa nimeona ni bora kuacha kabisa na nimepona sasa na wewe subiria yatakayokupata ndio uache manake hatukulazimishi ila tunakupenda ndio maana tunakuonya.
 
Ni vyema ukasoma na kuwa na uhakika na unachokizungumza hapo.

Umeongea uongo ambao hata sayansi na tafiti za sasa hazisemi hivyo.

Kingine, chai na kahawa sio sawa wala chemical compounds zake sio sawa.

Mkuu toa ufafanuzi mbadala, kwani kazungumza nini ambacho si sahihi kwa watu wenye uelewa wa kutosha kwenye masuala ya sayansi ya mwili wa binadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…