Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
- Thread starter
-
- #61
Mkuu pole sana kwa yalio kukuta, watu wachukue mfano kutoka kwako maana kuna baadhi ya watu humu wanafikiri ninaongea pasipo kuwa na ukweli,hata mimi nilikuwa mbishi sana nikiambiwa kahawa ni sumu nakataa na nimekunywa kwa muda mrefu lakini yaliyonikuta ni makubwa kwa kweli naungana na huyo mleta mada kwamba kahawa ni sumu tena kubwa mnoo nawasihi watumiaji punguzeni wala hili sio hoja ya wasabato hapana ni kwa manufaa yaka kiafya mimi nimepimwa na daktari kabisa nikaulizwa kama natumia pombe nikasema hapana nilipoendelea kuchunguzwa nikaulizwa tena kama kuna kilevi gani natumia kama kahawa nikajibu ndio kweli kahawa natumia sana tangu kuzaliwa nimejikuta matatani kwa miaka hii ya 35 ndio juzi nimeamua kuacha tena kwa masharti ya daktari kwani nilikutwa nina gesi kubwa tumboni iliyonipelekea mimi kutapika hovyo na kukohoa kwani ilini affect hadi kifua kwa hiyo nimeacha. na nilipewa dozi ya madawa makali ya kutumia kujitibu kwa mwezi mzima lakini badala ya kula hiyo dawa nimeona ni bora kuacha kabisa na nimepona sasa na wewe subiria yatakayokupata ndio uache manake hatukulazimishi ila tunakupenda ndio maana tunakuonya.
mimi nimejaribu to share nao kwa faida yao, baada ya wao kujaribu kufanya tafiti zaidi nilipoishia mimi wao wamekalia kubishana na mimi, na wengi wao wameanza na coment bila hata kusoma uzi mzima na kujuwa nini kinacho ongelewa ila mtu ameandika coments kishabiki au kwasababu kuna mtu kajibu hivi naye anafuata mkumbo, wenge wetu sisi ni wavivu sana kujisomea mambo eg bintimkongwe yeye anasema leta ushahidi sasa sijuwi nilicho muandikia ulikuwa ni nini, na kingine nimesema tu kuwa ushauri mtu halazimishwi you can take or leave