Usipitwe, pitia hapa kujua madhara ya chai na kahawa kiafya

Usipitwe, pitia hapa kujua madhara ya chai na kahawa kiafya

hata mimi nilikuwa mbishi sana nikiambiwa kahawa ni sumu nakataa na nimekunywa kwa muda mrefu lakini yaliyonikuta ni makubwa kwa kweli naungana na huyo mleta mada kwamba kahawa ni sumu tena kubwa mnoo nawasihi watumiaji punguzeni wala hili sio hoja ya wasabato hapana ni kwa manufaa yaka kiafya mimi nimepimwa na daktari kabisa nikaulizwa kama natumia pombe nikasema hapana nilipoendelea kuchunguzwa nikaulizwa tena kama kuna kilevi gani natumia kama kahawa nikajibu ndio kweli kahawa natumia sana tangu kuzaliwa nimejikuta matatani kwa miaka hii ya 35 ndio juzi nimeamua kuacha tena kwa masharti ya daktari kwani nilikutwa nina gesi kubwa tumboni iliyonipelekea mimi kutapika hovyo na kukohoa kwani ilini affect hadi kifua kwa hiyo nimeacha. na nilipewa dozi ya madawa makali ya kutumia kujitibu kwa mwezi mzima lakini badala ya kula hiyo dawa nimeona ni bora kuacha kabisa na nimepona sasa na wewe subiria yatakayokupata ndio uache manake hatukulazimishi ila tunakupenda ndio maana tunakuonya.
Mkuu pole sana kwa yalio kukuta, watu wachukue mfano kutoka kwako maana kuna baadhi ya watu humu wanafikiri ninaongea pasipo kuwa na ukweli,

mimi nimejaribu to share nao kwa faida yao, baada ya wao kujaribu kufanya tafiti zaidi nilipoishia mimi wao wamekalia kubishana na mimi, na wengi wao wameanza na coment bila hata kusoma uzi mzima na kujuwa nini kinacho ongelewa ila mtu ameandika coments kishabiki au kwasababu kuna mtu kajibu hivi naye anafuata mkumbo, wenge wetu sisi ni wavivu sana kujisomea mambo eg bintimkongwe yeye anasema leta ushahidi sasa sijuwi nilicho muandikia ulikuwa ni nini, na kingine nimesema tu kuwa ushauri mtu halazimishwi you can take or leave
 
Not at all ni mawazo yako mgando tu, humeshindwa hata kufanya utafiti unaleta mnyambulisho wa kidini
Bado kidogo utakuja na habari ndefu kuwa nyama ya nguruwe hailiwi.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Vitisho ni silaha kubwa sana ya shetani warumi 14:14 hakuna kitu kilichonajisi kwa asili yake.
 
Bado kidogo utakuja na habari ndefu kuwa nyama ya nguruwe hailiwi.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Kinauche wewe una mambo ya kitoto kama mwanangu wa kwanza, akili zako changanya na za kuambia you will finally get there.....
 
Ukisikiliza haya utaona kila kitu ni sumu hata maji
 
Vitisho ni silaha kubwa sana ya shetani warumi 14:14 hakuna kitu kilichonajisi kwa asili yake.
Sijuwi akili yako inavyokutuma ume quote na mstari wa bibilia kabisa, kweli tunazidiana akili na namna uchambuzi na uwelewa wa vitu, hivi kweli kwa akili yako kabisaa ndiyo imefikia hapo kufikiri??? hivi nilichosema na ku-share hapa ni VITISHO? kazana sana dogo
 
Somo zuri,.. lakini kuna watu wanajitoa akili na kudhani kwamba impact hutokea papo kwa papo, watumiaji lazima tujue kuna kitu kinaitwa 'long term impact'.
hata usipokunywa hiyo kahawa bado utakufa tu,so enjoy chochote unachoona kitakupa furaha at the time
 
Ukitaka kufa masikin soma sana maana judges yako inakuwa kubwa sana kuhitaj uitafit na muda haukungoji

Mim nimekulia mashamba ya kahawa kwa bib na babu mbeya sheria ilikiwa tunakunywa mwanzo mwisho na bib mpaka leo anaishi japo kwa sasa anaumwa sana age yake inasoma 90 above babi miaka 5 ago ndo alidunk

Kahawa sio sumu kahawa ni dawa kwanza chai ya majan nayo mnasema sumu jaman au mnataka tusileeeeeeee
 
Choices are on your hand, its just a reminder to share, take it or leave it its all on you my brother, no one is point agun on your head....live wisely
 
Ni Chai ya rangi mkuu verses Kahawa
Ona ulivyo zuzu.....Chai ya rangi is nothing but majani yanayotumika...Sasa utakaataaje chai ya maziwa....

Uzuzu bana....China na Japan wanaongoza kwa kunywa chai za rangi zaidi duniani...vipi unajua life expectancy za hizi nchi....!!!
 
hata usipokunywa hiyo kahawa bado utakufa tu,so enjoy chochote unachoona kitakupa furaha at the time
Kufa siyo kwamba option ufe ama usife, lakini kuna kufa kwa maumivu (niaminivyo) ni sawa na mtu aliyekufa au aliyeuwawa kinyama (kikatili).
 
Ushahidi upi unataka, au hujiwi kusoma mbona kila kitu nimeweka wazi, wewe ushahidi unao kwa unachopinga au ndiyo kuwashwa

Hamna scientific evidence ni stori za kijiweni tu, kama umeumia samahani. Tatizo la baadhi yenu kila munachoropoa kwenye mitandao munaamini ni sawa. Hiyo ya kuwashwa inathibitisha uwezo wako mdogo wa kustahmili maoni ya wengine.
 
Back
Top Bottom