Usipo kutana na tiki au comment hawa watu basi JF ujakamilika

Usipo kutana na tiki au comment hawa watu basi JF ujakamilika

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tuwape maua yao sijui ni maroboti au wafanyakazi.

Ila ni watu ambao wakiingia kwenye uzi wako kuna mawili up or down.
Screenshot_20260726-165226.png
Screenshot_20260726-165628.png
Screenshot_20260726-165716.png
Screenshot_20260726-165526.png
 
KIpindi fulani kulikuwa na mwamba anaitwa Joseverest huyu kila uzi lazima awe wa kwanza kucomment,
Sasa utajiuliza mwenyewe analala JF.
Siku hizi ashapoa.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
katiki tena 😆😄🤓
Screenshot_20260726-170340.png
 
Back
Top Bottom