Usipoenda J.k.t. chuo hupati!!"?

chatts55

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
600
Reaction score
97
Jamani hili suala la jkt mi bado nipo gizani,hivi ni kweli bila kupitia jkt huwezi kupata chuo,na wanaokwenda jkt ni watu wa aina gani? Na wanakwenda
kwa vigezo gani?
 
Kwa kweli hata mimi sijui hasa kwamba bila j.k.t hupati kazi serikalini????? Jibuni tu kwa roho safi.
 
We unadhani mi nichekechea!
 
Alikwambia nan acha ujinga we kijana unakuja kuvuruga akil za watu humu na ambao tayar wapo vyuon inakuaje diploma applicants hao nao vp fikir sana kijana
 
Hapo kwl umenena coz kuna wa2 kibao hawajatokea xo hawataajiliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…