Usipofanya haya, utabaki unalalamika kila siku na kila mwaka

Mungu huyo alikuwa hajui vipaumbele vyako akutimizie automatically mpaka umwandikie kwenye karatasi kumkumbusha?

Je kuna maskini na yatima yeyote aliye penda kuwa maskini au yatima wa kusaidiwa?

Kwamba maskini wapo kusaidiwa ili watu wengine wapate mafanikio kupitia sadaka zao kwa hao maskini?

Mungu huyo, Anashindwaje kusaidia hao maskini na yatima wasiendelee kuteseka?
 
hapa
 
yawezekana andiko langu sio kwa watu wa tabaka lako, mimi nimewalenga watanzania wa hali kama ya kwangu ambao misuko suko ya kifamilia ,ndoa,ajira imekua ni tatizo kwao.

wa mkiri MUNGU atawafungulia, kama Alivyo nifungulia mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…