Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
huwa nasikia kama kichwa kinataka kuhamia chini alafu miguu inataka kuja juu so lazima tu nije nichungulie
 
huwa nasikia kama kichwa kinataka kuhamia chini alafu miguu inataka kuja juu so lazima tu nije nichungulie

hahahahahahh.
mkuuu vipi Kama huna bandle kabisa siku Kama 3 hivi si utakua mwehu kabisa
 
tehe tehe tehe simu yangu ni mwiko kabisa kukosa bundle hata kwa nusu saa

hahahaha.
afadhali mkuuu.
but uko kwa wapi Leo bando yangu inaelekea kukata unisaidie tushee japo kwa WiFi niweze kuendelea kuwepo humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…