Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Na Adhabu Inaweza Kuongezeka Kufikia Kuporomoshwa Daraja.

Hili Limekaaje Wadau?

Bodi Ya Ligi ina lengo La kuwaumbua Viongozi Vya Vilabu wasiotumia Busara Kuongoza?

Ni Vijimambo vinavyopatika Ligi yetu Ya Tanzania tu...!
 
Wazee wakanuni hapa wamechemsha. They pick and choose kanuni wanazotaka kuzifuata. So unprofessional.
 
Wanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe wanyooshe

Kuvaa nembo hiyo kuna tatizo gani??

Kwenu hakuna vitu vyekundu??

Hata damu yako huitakii???

Huu ushabiki maandazi ndiyo maana nlishakataa
Mambo ya kushabikia mikia fc na utopolo
 
Yanga ni kubwa kuliko hizo sekta zote. Ndio maana inatakiwa usimame unapoitaja.
 
Kati ya Yanga, TFF na NBC nani alianza kuzaliwa? Majibu ni YANGA.
Hivyo mkubwa ni mkubwa tu, aheshimiwe.
TFF hawawezi kuishusha Yanga daraja wala NBC hawawezi kutofautiana na Yanga ili wasiharibu biashara yao.
 
Yanga inaendeshwa na vichaa, kuna watu wana elimu lakini elimu yao haiwasaidii kitu. Yani wana mambo ya kijinga sana, inatakiwa ifikie mahali Yanga wajue thamani ya logo na kuiheshimu. Faini iongezwe iwe kama 20M ili atakayekaidi ajue ana pesa nyingi za kulipa mpaka msimu uishe.
 
Back
Top Bottom