Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

Usipoivaa Nembo Ya Mdhamini Wa Ligi Nyudo 3M Kila Mechi

Ngoja tusubiri tuone nani Ataupiga Mwingi Kati Ya TFF na Bodi ya Ligi Au Dar Young Africa.
Nimemsikia Manara akisema Basi Wapewe twiga Mwenye Rangi Nyeupe na Nyeusi...! Sasa si Yale yale maana Simba rangi Zake Ni Nyeupe na Nyekundu kama ilivyo Kwa Yanga Kijani na njano...!
 
Haji si alishasema hapo Yanga mwenye akili timamu ni Baba yake na Mzee Kikwete tu.

Hivyo waishushe daraja tu Yanga ikacheze ligi moja na kina Tambwe.

Kanuni inasema usipovaa nembo kwenye mechi sita ndio unashushwa daraja.
 
Ngoja tuone!!hiki ndicho kipimo kikubwa, je yanga wakikataa , kuvaa jezi yenye nembo nyekundu, na NBC, wakakataa kubadirisha rangi, hizo kanuni zao zitafanya kazi?!!!
Kanuni inasema ukishapigwa faini na ukaendelea na utovu wa nidhamu adhabu inaweza kufikia hatua ya kufungiwa. Huu ujinga hauna faida, ndiyo yale ya shabiki wa yanga kumkuta amevaa jezi ya arsenal nyekundu.
 
Labda hiyo M100 mkaiibe

Afe ile M10 ya CAF mlilipa?
Usitake tukumbushie zile bilioni zetu 20 hapa!! Wewe endelea tu kurusha mawe na wakati huo huo ukiwa umejisitiri kwenye nyumba ya vioo.
 
Ngoja tuone!!hiki ndicho kipimo kikubwa, je yanga wakikataa , kuvaa jezi yenye nembo nyekundu, na NBC, wakakataa kubadirisha rangi, hizo kanuni zao zitafanya kazi?!!!
Ni upumbavu wa (ama niite ushirikina) kiafrika tu. Kwani Yanga ama Simba wakivaa jezi zenye rangi tofauti na rangi zao hawachezi? Wanaathirika nn? Nakumbuka Yanga sio mara ya kwanza kuwa na ubishi wa kupumbavu namna hii, walibishana na Vodacom kuhusu ile nembo ya Vodafone ambayo ni nyekundu. Mbona Ulaya timu zina rangi zao, lakini mazingira yakiwa sio favorable wanavaa rangi yoyote? Mie Man U damu kbs, tuna jezi za kila rangi, ingawa home kit ni nyekundu! Unakuta kuna jezi nyeusi, bluu, nyeupe, dark brown nk.
 
Nyie mnawashwawashwa nini Yanga kukataa rangi hyo. Kila mtu ana tamaduni zake na desturi tulieni na rangi yenu na sisi na yetu. Kila mtu afanye kimpendezacho. Hii ni kama bendera ya nchi lazima iheshimiwe
 
Leo nimecheka sana! Nimemkuta Shabiki wa Yanga Lialia aliyekataa Twiga mwekundu akidai Mshabiki wa Yanga katu hawezi kuvaa rangi Nyekundu kavaa Jezi Home kit ya Manchester United 😂😂😂

Ilinibidi nicheke tu jinsi Jamaa alivyotinga Uzi mwekundu wa Manure.
 
Ngoja tuone!!hiki ndicho kipimo kikubwa, je yanga wakikataa , kuvaa jezi yenye nembo nyekundu, na NBC, wakakataa kubadirisha rangi, hizo kanuni zao zitafanya kazi?!!!
Mbona washabadirisha ni nyeusi
 
Back
Top Bottom