kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Labda hiyo M100 mkaiibeTutawapa kabisa milioni 100 ili ijulikane kabisa kwamba hatuvai
Hiyo milioni 10 ni mshahara wa Feisal Salum mwezi mmoja tuLabda hiyo M100 mkaiibe
Afe ile M10 ya CAF mlilipa?
NBC nao waajabu, wanajiingiza kwenye mivutano ambayo wanajua kabisa kamwe hawawezi kushinda.Ngoja tuone!!hiki ndicho kipimo kikubwa, je yanga wakikataa , kuvaa jezi yenye nembo nyekundu, na NBC, wakakataa kubadirisha rangi, hizo kanuni zao zitafanya kazi?!!!
Waendelee na mipango yao Yanga inahamia ligi ya Kenya.Kilichofanya vodacom wakashindwa 2011 na 2019 ndicho kitakachiwafanya NBC washindwe 2021
Yanga ni kubwa kuliko tff NBC vodacom na wote
Huo ni ujinga,hii ngoma yanga tutashinda tu kwani mmesahau vodacom walikubaliKama ni milioni 3 kwa kila mechi basi ss kama Yanga tumeandaa milioni 90 kwa msimu mzima
Uongozi ni Kuwa Na Maono.....Msukule ameshasikika...Sasa GSM na Mzee Msolla Watakuwa na Mawazo kama haya..!Kama ni milioni 3 kwa kila mechi basi ss kama Yanga tumeandaa milioni 90 kwa msimu mzima