Semilong
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 1,711
- 220
katika kuonge na baadhi ya wanawake mbali mbali wengi wao wanapenda wanaume machachari, ukiwa mpole wanakuita boring, usipowa cheat hata kidogo wana kuona **** na mwishowe wana kucheat wewe...
unakuta wanaume wengi watulivu wake zao wanawasumbua sana...
pia unakuta wanawake wenye watu machachari hawafurukuti kwa nini???
je wanawake kwa nini mnapenda machachari alafu baadae mnalalamika.....