Makaramu =sherehe utawekaje mfukoni sheikh-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi
Mengine mtaendeleza nyie
kila mtu aishi anavyoona ni sahihi ila kuwala ma beki 3 hii itakuunderate milele-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi
Mengine mtaendeleza nyie
Kuvaa suruali za kubana-kuvaa visoksi vifupi na sendoz
-kuvaa vibukta vyenye kuacha mapaja wazi
Ntakudunda ohoo!💪Jina limenitoka kidogo,🤣
Ntakudunda ohoo!💪
Mimi ni Dada ila nna ngumi jiwe mkuu ntakupasua💪😀Huwezi , hujui mimi ni✊🏻✊🏻 na wewe ni 💅🏻💋👄???!!
rudia kusoma huu ujinga wako hapa maana washabiki wa yanga tuna lala kwa amani zote leo.Kushabikia yanga
Huu Uzi ni burdani tosha🤣🤣🤣🤣-kuweka mlio wa mchiriku kwenye simu yako
-kuvaa soksi zenye matundu
-Kuhadithia muvi za akina Kanumba...
-kujitazama kwenye vioo vya madirishani
-kuvaa suruali ya kitambaa ndani una kibukta
- kuvaa nguo zenye mapichapicha
-kuvaa viatu vilivyoisha sole na vilivyopinda kwa nje
-kuvaa mapetepete kibao mikononi
-kutembea na makaramu mengi kwenye mfuko wa shati
-kuvaa mkanda wa bakozi au wautambi
Mengine mtaendeleza nyie
Wewe Ni Me ama Ke?Kuvaa taulo ya kike ya usafi vibaya mpaka mdada ukitembea unapinda pinda Yani Kama inakusugua ukeni.
Mtoa mimbaWewe Ni Me ama Ke?