Usipokuwa makini hivi vitu vitakushushia heshima

Tumbo kujaa gesi ukiwa ukweni mbele ya wake😐😐
 
Kupiga Mihayo mpka machoz hadharani[emoji23].....
 
-- kuhadithia movie za akina kanumba.
-- kuvaa suruali ya kitambaa ndani umevaa bukta.
_ kuweka makaramu( makalamu) mengi mfuko wa shati.
-- kuvaa T-shirt lenye mapicha picha.
-- mkanda wa bakoz ni upi?
Hebu fafanuwa hyo heshima utaivunja vipi?
Ushawahi kufanya kipi kati ya hivyo kwa kuanzia
 
Ukitaka heshima tafta pesa yote hayo hata ukiyafanya utaonekana mjanja tyu
 
mkuu wewe inaonekana hujatoka nje ya chato bado maana hivyo ulivyoandika hapo vyote sioni kama kuna mtu anafanya siku hizi...
 
mkuu wewe inaonekana hujatoka nje ya chato bado maana hivyo ulivyoandika hapo vyote sioni kama kuna mtu anafanya siku hizi...
Wewe hufanyi wenzio wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…