Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako


😃😃😃

1. Kwanza sio lazima mtu yeyote hata mtoto wako kutumia majina yako.
2. Mkeo anahiyari ya kutumia majina yoyote ayatakayo.

Ishu ya majina ni utashi wa mtu au jamii fulani.
Wakati mwingine jina humaanisha umiliki, lakini kama sehemu ya kuunganisha familia au jamii.
 
Ukiona mke anaitwa mama fulani, jua hilo jina hajajipa yeye bali wanamzunguka. Anaitwa hivyo kwa sababu majina ya ukoo wake mara nyingi huwa hayafamiki, hivyo huitwa jina la mume wake ambaye kwa wakati huo hua anafahamika kulingana na majukumu yake.

Ni Kweli.
 
Nakupenda sana mama watoto wangu
 
Kwa nini wewe usijiite ya baba yake badala ya baba yako. Umeniuliza nini maan ya unyanyasaji, mimi najua ndiyo maan nimesema ila wewe hujui ndiyo maana umeniuliza na unalazimisha mkeo aache jina la baba yake atumie la kwako as if wewe ndiyo umemzaa.

Hili nalo linatakiwa litizamwe na wanawake wote, hii nayo ni aina ya unyanyasaji kupitia mfumo dume.. siyo kila siku kulilia haki sawa wakati hata hili dogo inakuwa ngumu kulitatua. Au ni haki sawa kwenye mali (maokito ) tu.
 
Na usipo tumia jina langu jiandae kuwa mke jina.

Tunajenga Nyumba moja na familia moja kwa nini uone tabu kutumia jina langu wakati vingine vyangu ni vya kwako
 
Ukipata mwanamke sahihi Wala huwezi kutumia nguvu kwake mambo yatakuwa yanateleza tu hata kukuheshimu ataona ndyo jambo linalompa Furaha.Ila ukingangania asiyekupenda ukamforce akukubalie, hivyo vitu vyote unavyosema unaweza Kuta unaviforce sababu hakuwa wa kwako.

Changamoto ya mwanamke ambayo lazima ukutane nayo ni changamoto ya kutaka kukutawala lakini atashindwa na atakuwa chini Yako.
 

Ndio tatizo la akili kuwa nyepesi.
Hakuna sehemu hata moja niliyosema umlazimishe mtu kutumia majina yako.
Ukishakuwa Mpumbavu ni ngumu kuficha upumbavu wenyewe.

Watibeli hatujawahi kulazimisha mambo ambayo sio haki zetu.

Embu rudia kusoma kilichoandikwa kisha angalia ulichoandika kisha ukanywe maji ujipe pole
 

Mwanamke kuna mambo akiona huna lazima awaze kukutawala
 
Mimi muislam
Uislam unakataza

Ni sahihi.
Ni kwa sababu kwenye huo uislamu unaruhusu pia Wake wengi. Ni kama Uyahudi.
Hata uafrika unaoruhusu Wake wengi Mke hatumii majina ya Mumewe.

Kutumia jina la mume ni sehemu ya kuleta umoja ndani ya familià. Sasa kama wake wanaolewa wengi huo umoja utatoka wapi?

Hata hivyo ni hiyari ya mtu kutumia yoyote atakayo.
Maeneo ya Ulaya pia wapo wanaoona ni sawa kutumia na wapo wanaoona sio sawa
 
This is nonsense...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…