Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

Asipoitwa na majina yako oa mke wa 2 atakayeitwa kwa majina yako
 
Sio kitu Rasmi. Ila wapo wanaobadili kisheria hawa ni wachache Sana.

Mimi najua wanajiita majina ya waume zao lakini kwenye karatasi huitwa majina ya koo walizotoka
Hawa wanawake walioajiriwa, mara nyingi hata kwenye maeneo wanafanya kazi utawapata kwa jina lake la kiacademic wakati anasoma (kabla hajaolewa)

Ila wapo wanaomua kubadilisha wanaanza na jina lake, la kati la ukoo, la mwisho la mume wake

Huku mitaani na maeneo ya ibada wengi huwa tunawaita kwa majina ya watoto wao au waume zao

Ukweli mchungu mwanamke kulikataa jina lako hiyo ni red flag tosha
 
Nadhani umri wako ni wa barehe na elimu yako ni ya Tia maji maan hujui maan ya ustaarabu Wala adabu. Km huwezi kuvumilia usiyotaka kuskia usiwe unapost ushuzi wako humu. Humu tumo wa rika tofauti heshima ni muhimu siyo lazima utukane ndiyo uonekane una akili. Pole sn kwa wazazi wako, wewe ni mzigo.

Unanitukana wakati mimi sijakutukana. Mind you mimi naishi kwa ustaarabu otherwise ninajua matusi kuliko unavyonichukulia na Nina dharau kuliko ulizo nazo.

Nimemaliza, sitakujibu chochote hata km utanijb kwa matusi, sitakutukana, wala kukubeza ili watu watu ndiyo waone kati yako na Mimi nani MPUMBAVU km ulivyoniita.
 
Binafsi sioni hoja, asibadili ubini wake hata kidogo. Kinyumbani nyumbani it's okay ila sio official.
 

Barehe❌ Balehe ✔️
Mengine yote upo sahihi
 
Tutafute hela mkuu kila mwenye pesa za kutatia shida zake ni handsome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…