Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli

Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli

Kukosa hoja tu huko...unaishia kuongea uswahili!
 
Kukosa hoja tu huko...unaishia kuongea uswahili!

TUTAKUNYANG'ANYA KADI YETU YA ccm...........
nb:huyo mwanamama wa kisukuma kafungua grocery leo?.....
ujue ninawadai hao....
nenda kapige wine basi.......
 
Jamani Muungwana Kwao Bwagamoyo, Mkwele unategemea nini kami sio vijimisemo? "Jasiri Haachi Asili"
 
TUTAKUNYANG'ANYA KADI YETU YA ccm...........
nb:huyo mwanamama wa kisukuma kafungua grocery leo?.....
ujue ninawadai hao....
nenda kapige wine basi.......

Si unajua nikipiga moja lazima itadai?
Kwahiyo inabidi niwe na balanzi mfukoni..ndo hiyo najaribu kuiiba hapa kwa mkoloni!...huh!
 
Ndio mambo ya waswahili hayo hata muzee wa ruksa nae alijua kung'eng'ena na kiswahili ile mbaya
 
Back
Top Bottom