Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 196
Pole mkuuNdio, usipokuwepo, hakuna kilichopo. Hata Mungu hayupo ikiwa wewe haupo. Ndio maana wapo wanaohoji kwamba kati yako na Mungu, nani wakwanza kuwepo.
Hoja hii inaweza kuwa na mashiko sana. Lazima uwepo ili Mungu awepo. Kwa hiyo, lazima wewe uwepo ili Mungu na kila kitu viwepo.
Ili uwepo uwepo,lazima wewe uwepo. Usipokuwepo, hakuna kilichopo.
Ndio maana yake mkuu. Usipokuwepo, hakuna chochote kilichopo, hata Mungu hawezi kuwepo bila wewe kuwepo. Mungu yupo kwa kuwa wewe upo. Jaribu kuonesha uwepo wa Mungu pasipo wewe kuwepo kama unaweza.Unamaanisha nisipokuwepo Mungu hayupo?
Au sijakuelewa ulivyomaanisha!!
Unaweza kuwa sahihi mkuu, ila bila shaka unajua unavyovijua na usivyovijua kwa kuwa upo. Unajua uwepo wa space na kuwa tunautegemea uwepo kwa kuwa tupo. Hakika bila wewe kuwepo, mimi sipo, wala uwepo haupo.kuna uwepo mwingi sana(space ni kubwa sana) na space ndo uwepo..
kwa kusema "ili uwepo uwepo lzm wewe uwepo" basi tambua huo uwepo uliopo ni mkubwa mno na mwengine upo ambapo wewe haupo na umeakaa hivyo kwa muda mrefu,sasa kama uwepo unakutegemea kwanini uwepo sehemu usipo..? uwepo haututegemei sisi bali sisi tunategemea uwepo na ndo maana tupo kwenye uwepo.
Nafikiri hili ni wazo zuri. Pia, unaweza kuwaza ikiwa kabla ya wewe kuwepo ulifahamu kuhusu uwepo. Sidhani kama una kumbukumbu yoyote ya kabla ya kuwepo kwako.Siku tukifa ndo tutajua ukweli..nakisubiri kifo kwa hamu ili kijibu maswali haya yoote.
hio ni kwako, lkn kutokuwepo sisi haimaanishi uwepo haupo.. kama uwepo umekuwepo kabla yako/yetu sote basi uwepo unaweza kuwepo hata kama hatupo.Unaweza kuwa sahihi mkuu, ila bila shaka unajua unavyovijua na usivyovijua kwa kuwa upo. Unajua uwepo wa space na kuwa tunautegemea uwepo kwa kuwa tupo. Hakika bila wewe kuwepo, mimi sipo, wala uwepo haupo.
wala hujamuelewa soma tena kichwa cha habariUkitaka kuamini alichokisema jamaa hata jf isingekuwepo comments zenu zisingekuwepo hapo juu lazima jf iwepo na nyie ndo mtupie comments. Sema namimi nime mwelewa kwa mbinde [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hio ni kwako, lkn kutokuwepo sisi haimaanishi uwepo haupo.. kama uwepo umekuwepo kabla yako/yetu sote basi uwepo unaweza kuwepo hata kama hatupo.
Siku tukifa ndo tutajua ukweli..nakisubiri kifo kwa hamu ili kijibu maswali haya yoote.
Pamoja mkuu....ntakuwa nawapa ma news alert, updates na ma breaking news kutoka pande hizo kwa ID hii hii.ukifa usisahau kutupa mrejesho utakachokutana nacho.
Umemjibu vizuri maana bado hajui kitu na anatumia akili tu ya kawaida. Kwa Mungu hategemei uwepo wa chochote kile ili Yeye awe Mungu! Mwanzo 6:6-7. Watu wengine wamekuwa wepesi sana wa kuongea mambo wasiyo yajua, hivyo wanapotoka zaidi na kupotosha wengine wasiojua kitu!kuna uwepo mwingi sana(space ni kubwa sana) na space ndo uwepo..
kwa kusema "ili uwepo uwepo lzm wewe uwepo" basi tambua huo uwepo uliopo ni mkubwa mno na mwengine upo ambapo wewe haupo na umeakaa hivyo kwa muda mrefu,sasa kama uwepo unakutegemea kwanini uwepo sehemu usipo..? uwepo haututegemei sisi bali sisi tunategemea uwepo na ndo maana tupo kwenye uwepo.
ha ha ha! mkuu hapa umeingia pahala pengine! ya mungu mnayajua nyie,ndo maana hata sijamhusisha sorry kwa hiloUmemjibu vizuri maana bado hajui kitu na anatumia akili tu ya kawaida. Kwa Mungu hategemei uwepo wa chochote kile ili Yeye awe Mungu! Mwanzo 6:6-7. Watu wengine wamekuwa wepesi sana wa kuongea mambo wasiyo yajua, hivyo wanapotoka zaidi na kupotosha wengine wasiojua kitu!