jimmykb197
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 485
- 482
Binafsi ninayo tafsiri ndiyo maana nathubutu kuelezea ninacho kielewa, pamoja na hayo ili kuthibitisha kile ninacho kielezea ni halisi nalazimika kuthibitisha kwa kupitia msingi na kiini cha maelezo yangu yaani Maandiko Matakatifu.Tatizo moja kubwa la mnaotumia maandiko ya vitabu vya dini, mnayatumia kama katiba. Hakuna kuwaza kuhusu tafsiri ya maandiko na namna yanavyokidhi mazingira, tamaduni, hali na wakati. Ndio maana kwa utaratibu huu, maandiko yanapingana tu. Jizoeshe kutafsiri maandiko badala ya kucopy tu na kupaste mistari.
Wewe mwenzangu unathibitisha vipi kuwa hoja zako ni halisi? Ikiwa bado yale unayo yatolea hoja bado hatuwezi kuyagusa ama kuyaona dhahiri kwa macho ya kibinadamu?