Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 196
- Thread starter
-
- #21
Sijachanganya lugha mkuu. Soma ukiwa na akili huru, utaelewa vizuri tu.Unafikiri kuchanganya changanya lugha ili usieleweke kirahisi ndiyo utaonekana una akili.
Kwani ukifa unafikiri uhai unaisha na wewe?
Unafikiri kuchanganya changanya lugha ili usieleweke kirahisi ndiyo utaonekana una akili.
Kwani ukifa unafikiri uhai unaisha na wewe?
Umemjibu vizuri maana bado hajui kitu na anatumia akili tu ya kawaida. Kwa Mungu hategemei uwepo wa chochote kile ili Yeye awe Mungu! Mwanzo 6:6-7. Watu wengine wamekuwa wepesi sana wa kuongea mambo wasiyo yajua, hivyo wanapotoka zaidi na kupotosha wengine wasiojua kitu!
ha ha ha! mkuu hapa umeingia pahala pengine! ya mungu mnayajua nyie,ndo maana hata sijamhusisha sorry kwa hilo
Kati wewe na space nani alianza kuwepo.Tuanze hapo
Uwepo hautegemei wewe kuwepo au wewe kuuelezea ndiyo upate hiyo sifa ya kuwa uwepo upo, uwepo ni kama atmosphere, wakati wewe huoni chochote kuna mwenye uwezo wa kuona chochote!Mkuu, siyo kwamba unatumia advantage ya wewe kuwepo ndio maana unaweza kueleza kuwa uwepo ulikuwepo na utaendelea kuwepo?. Kabla ya wewe kuwepo ulifahamu kuwa uwepo ulikuwepo na kwamba utaendelea kuwepo?. Nafikiri unaweza kuyasema haya kwa kuwa upo. Je, kisichokuwepo sasa kinaweza kuelezea uwepo wa sasa na uwepo ujao? Hatuoni kuwa, kwa kisichokuwepo, hakuna kilichopo?
Sasa hiyo nguvu unayoiongelea ndiyo chanzo cha huo uwepo wenyewe wa wewe kuwepo, kwa hivyo wewe ulikuwepo hata kabla ya kuwepo katika mwili wa damu na nyama.Kila mmoja wetu ndio chanzo cha uwepo wake mwenyewe (bila kuwepo, huwezi kujua kama upo) na uwepo wa kila kitu. Hivyo, ni muhimu sana kutambua nguvu kuu tuliyo nayo, tujithamini na tuitumie kujenga tafsiri yenye tija tungalipo hapa duniani. Tukiona thamani yetu, ni lazima tuone thamani ya wengine maana nao wana nguvu ya namna hii iliyo na thamani sawa.
Unakimbia kutoa references siyo? Hahaha maisha katika uhalisia wake hayapaswi kuwa katika hali ya kufikirika zaidi bali kwatika uhalisia wake kwa kadiri mtu anavyo boreshwa kiasili.ha ha ha! mkuu hapa umeingia pahala pengine! ya mungu mnayajua nyie,ndo maana hata sijamhusisha sorry kwa hilo
nikimbie wapi..?Unakimbia kutoa references siyo? Hahaha maisha katika uhalisia wake hayapaswi kuwa katika hali ya kufikirika zaidi bali kwatika uhalisia wake kwa kadiri mtu anavyo boreshwa kiasili.
si unajua vitu vya kumezeshwa tena.. tatizo wanaamini kabla ya kuelewaTatizo ni kuwa, ukishaonesha kuwa hutoi nafasi kwa Mungu wa vitabuni, basi nawe unawekwa kwenye kundi la akili ya kawaida. Akili nzuri ni ile inayoamini kuwa kuna Mungu, haswa yule wa kwenye vitabu.
Vyovyote vile utakavyo elezea huwezi kuepuka habari ya Mungu kwenye mambo kama haya yanayohusu asili isiyo onekana kwa damu na nyama, sababu Yeye Ndiye mwanzo wa mambo yote haya, hata dhamiri yako ni shahidi wa hili labda tu uwe na uelewa mdogo juu ya mambo haya.si unajua vitu vya kumezeshwa tena.. tatizo wanaamini kabla ya kuelewa
haya wewe mwenye uelewa mkubwa hebu nionyeshe mungu na utendaji wake wote kabla hatujafika mbali..Vyovyote vile utakavyo elezea huwezi kuepuka habari ya Mungu kwenye mambo kama haya yanayohusu asili isiyo onekana kwa damu na nyama, sababu Yeye Ndiye mwanzo wa mambo yote haya, hata dhamiri yako ni shahidi wa hili labda tu uwe na uelewa mdogo juu ya mambo haya.
Sasa ukiulizwa wewe umeyatoa wapi haya unayoyasema? Utasema umesoma kwenye vitabu vya waandishi hasa wale maarufu wa nyakati hizo ama historia, lakini ujue tu wazi hata hao wanafalsafa wenu wanasoma vitabu vinavyo mwelezea Mungu huyu huyu mnayesema Mungu wa kwenye vitabu na kisha wanayaboresha mawazo yao na kuandika hivyo mnavyovisoma nyie mnaojidhania kwamba mnapata uelewa nje ya vitabu hivi vinavyo mwelezea Mungu wa kwenye vitabu.[emoji4]
kwahyo asingekuwepo ni kweli jf nayo isingekuwepo?Ukitaka kuamini alichokisema jamaa hata jf isingekuwepo comments zenu zisingekuwepo hapo juu lazima jf iwepo na nyie ndo mtupie comments. Sema namimi nime mwelewa kwa mbinde [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwahyo tukikunyonga leo ukifa na mungu anakua hayupo si ndioNdio, usipokuwepo, hakuna kilichopo. Hata Mungu hayupo ikiwa wewe haupo. Ndio maana wapo wanaohoji kwamba kati yako na Mungu, nani wakwanza kuwepo.
Hoja hii inaweza kuwa na mashiko sana. Lazima uwepo ili Mungu awepo. Kwa hiyo, lazima wewe uwepo ili Mungu na kila kitu viwepo.
Ili uwepo uwepo,lazima wewe uwepo. Usipokuwepo, hakuna kilichopo.
According to mtoa mada. Overkwahyo asingekuwepo ni kweli jf nayo isingekuwepo?
Nisipokuwepo, au wewe usipokuwepo, hakuna jamii forums wala chochote, wala Mungu. Kabla ya kuwepo kwako, ulikuwa na kumbukumbu yoyote ya kuwepo kwa chochote? Hapana. Kwa hiyo hakuna kilichokuwepo hadi ulipokiwepo, siyo?According to mtoa mada. Over
kwahyo tukikunyonga leo ukifa na mungu anakua hayupo si ndio
Vyovyote vile utakavyo elezea huwezi kuepuka habari ya Mungu kwenye mambo kama haya yanayohusu asili isiyo onekana kwa damu na nyama, sababu Yeye Ndiye mwanzo wa mambo yote haya, hata dhamiri yako ni shahidi wa hili labda tu uwe na uelewa mdogo juu ya mambo haya.
Sasa ukiulizwa wewe umeyatoa wapi haya unayoyasema? Utasema umesoma kwenye vitabu vya waandishi hasa wale maarufu wa nyakati hizo ama historia, lakini ujue tu wazi hata hao wanafalsafa wenu wanasoma vitabu vinavyo mwelezea Mungu huyu huyu mnayesema Mungu wa kwenye vitabu na kisha wanayaboresha mawazo yao na kuandika hivyo mnavyovisoma nyie mnaojidhania kwamba mnapata uelewa nje ya vitabu hivi vinavyo mwelezea Mungu wa kwenye vitabu.[emoji4]