Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Huo uelewa wa baada ya kifo chako wewe umeutoa wapi? unawezaje kujua mambo ya baada ya kifo hali ya kuwa upo hai na hujawahi kufa?Baada ya kifo changu, hakuna kitakachokuwepo, hata mawazo yangu.
Kuna siku ambayo sitakuwepo kama mabavyo sikuwepo, je unaweza kuelezea katika hali hii, ki kipi kitakuwepo kwa upande wangu?
Na ndiyo maana nakwambia wewe unapingana na uhalisia kwa mambo ya kufikirika .