F Flagin JF-Expert Member Joined Mar 26, 2024 Posts 410 Reaction score 540 Mar 31, 2024 #1 Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Mar 31, 2024 #2 Hata historia ikiwa ndefu Ina faida Gani?Alisoma mpaka akawa Profesa halafu hana mzigo?
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Mar 31, 2024 #3 Ukishakufa umekufa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 31, 2024 #4 Sasa historia inasaidia nn kwa wafiwa? Muhimu kuwe na maokoto bank, wagombanie mirathi na urithi.
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Mar 31, 2024 #5 Historia ya marehemu haimsaidii marehemu. Wewe pambana uishi maisha mazuri na jamii inayokuzunguka ifaidike.
Historia ya marehemu haimsaidii marehemu. Wewe pambana uishi maisha mazuri na jamii inayokuzunguka ifaidike.