Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa

Flagin

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2024
Posts
410
Reaction score
540
Usipopambana na maisha ukiwa kijana, ukija kufa historia ya marehemu inakua fupi tu, marehemu alizaliwa akazurura akafa.
 
Sasa historia inasaidia nn kwa wafiwa? Muhimu kuwe na maokoto bank, wagombanie mirathi na urithi.
 
Historia ya marehemu haimsaidii marehemu.

Wewe pambana uishi maisha mazuri na jamii inayokuzunguka ifaidike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…