NABII MTARAJIWA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 425
- 609
Umenena yaliyo kweli. Bwana na akubariki.Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA
Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe
Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA
Ahsanteni sana π
Mungu anasamehe dhambi zote ikiwa mtu atatubu. Ni kweli JPM alikuwa na dhambi nyingi na ndio maana kafariki kabla ya muda wake!Una maana kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasa
Kabisa niko radhi kwa hilo, tena mtakaopiga kura ikibidi nendeni mkaishi kabisa katika vituo vya kura ili mpige kura vizuri kwenye hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi.Utabaki nyumbani peke Yako π
Wapinzani wameapa kutomwachia FISI bucha πΌ
Ina maana Watoto Wadogo wanaofariki ni kwa sababu ya dhambi nyingi? πΌMungu anasamehe dhambi zote ikiwa mtu atatubu. Ni kweli JPM alikuwa na dhambi nyingi na ndio maana kafariki kabla ya muda wake!
Huyu ninaye mchagua amepanga chumba na anaweza kuhama siku yoyote ile, baada ya hapo tutatawaliwa na mgeni, licha ya hilo maisha yake ya kila siku ugali unapikwa saa kumi na hiyo imetoka, pasi ndefu. Muda wote yuko mguu na njia nyumbani hakieleweki kitu sijui atatusaidia kwa lipi huku chimba alichopanga kinavuja.Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe
Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA
Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe
Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA
Ahsanteni sana π
Nani kasema.mungu anasameheMungu anasamehe dhambi zote ikiwa mtu atatubu. Ni kweli JPM alikuwa na dhambi nyingi na ndio maana kafariki kabla ya muda wake!