Pre GE2025 Usipopiga kura kuchagua viongozi unatenda dhambi na Yule anayetawala kwa Kura za Wizi Yu na Dhambi iliyo Kuu Zaidi!

Pre GE2025 Usipopiga kura kuchagua viongozi unatenda dhambi na Yule anayetawala kwa Kura za Wizi Yu na Dhambi iliyo Kuu Zaidi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA

Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe

Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA

Ahsanteni sana 😄
Umenena yaliyo kweli. Bwana na akubariki.
 
Una maana kuwa jpm alikuwa na dhambi nyingi sana na kamwe hatakuja kusamehewa na mola. Aliagiza uchagizi ccm wote watangazwe bila kushinda. Mfano, kitila, mafue, gwajima, majalowa, nape, gambo nk hata yeye mwenyeqe hakushinda dhidi ya lowasa
Mungu anasamehe dhambi zote ikiwa mtu atatubu. Ni kweli JPM alikuwa na dhambi nyingi na ndio maana kafariki kabla ya muda wake!
 
Utabaki nyumbani peke Yako 😄

Wapinzani wameapa kutomwachia FISI bucha 🐼
Kabisa niko radhi kwa hilo, tena mtakaopiga kura ikibidi nendeni mkaishi kabisa katika vituo vya kura ili mpige kura vizuri kwenye hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi.
 
Tunakumbushana tu Chagua Kiongozi Kwa kura halali Ili mwisho wa Siku Eneo la nchi Yako nzuri lipate Kiongozi mwenye KIBALI Kutoka kwa Mungu wa Mbinguni mwenyewe

Nawe unayetaka kuwaongoza Watu hawa ambao Mungu wa Mbinguni amewaumba kwa Mfano wake USIIBE KURA, kwani Kwa kuiba Kura hautakuwa KIONGOZI bali Mtawala atawalaye kwa HILA

Mbele ya Mungu wa Mbinguni HILA ni dhambi iliyo Kuu Zaidi yenye kusambaza LAANA kwa Watu Wote watawaliwao nawe

Mungu wa Mbinguni akufumbue Macho Uweze KUTAZAMA na KUONA

Ahsanteni sana 😄
Huyu ninaye mchagua amepanga chumba na anaweza kuhama siku yoyote ile, baada ya hapo tutatawaliwa na mgeni, licha ya hilo maisha yake ya kila siku ugali unapikwa saa kumi na hiyo imetoka, pasi ndefu. Muda wote yuko mguu na njia nyumbani hakieleweki kitu sijui atatusaidia kwa lipi huku chimba alichopanga kinavuja.
Uchaguzi huu ni wa kudanganyana tu, hatakuwa na tija kwangu.
 
Back
Top Bottom