Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Daaahmi mda na magemu sina mkuu..Iko poa sana sana mkuu, kongole kwako.
Poor Brain sio kutaka mbunye kwa mishangazi tu, njoo uchote maarifa huku.
Kwanza ujue kuna ant flan hv..
Aaaaahg sio ant ni mmama mmoja hv anajiita mama jay kanipa ofa ya kunitunukukesha wa xmass aiseee kiutani utani ujue...
Just imagine mkuu