Usipoteze muda wako kwa sababu ya vitu hivi

Usipoteze muda wako kwa sababu ya vitu hivi

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Hakuna kitu kinachompa binadamu majuto moyoni mwake kama siku moja akakumbuka yote aliyoyafanya yalikuwa ni kuupoteza muda wake tu. Alitumia nguvu nyingi, aliacha vyote kwa ajili ya kitu kimoja lakini mwisho wa siku hakupata alichokitarajia, anakaa chini na kugundua kwamba alipoteza muda, ilikuwa ni afadhali angefanya jambo jingine lakini si lile.
NIGGER! STOP WASTING YOUR TIME!


Kuna watu wanapambana kwenye mahusiano ya kimapenzi na watu ambao si chaguo lao. Unajua kabisa huyu niliyekuwanaye si mwaminifu, anapenda watu wenye pesa, hana fikra za kufikiria mbali, kwenye maisha yake hajawahi kufikiria kuhusu maendeleo lakini unadate naye. Mwisho wa siku anakwambia sitaki kuoa au kuolewa na mtu asiyekuwa na pesa, nenda kazitafute kwanza.
NIGGER! STOP WASTING YOUR TIME!

Tunafeli kwa sababu hatutaki kukubaliana na ukweli. Kuna mtu unampenda sana sasa hivi, tena mno, inawezekana unamjali kuliko unavyowajali wazazi wako, inawezekana unatakani awe mke wako au mume wako, lakini yeye hana habari na wewe, anafanya mambo yake tu, hakujali kama unavyomjali, hakusikilizi wala kukuheshimu kama unavyofanya wewe, lakini bado umeng’ang’ania tu kwa kuamini kwamba kuna siku atashuka malaika na kumbadilisha. Hahaha!
NIGGER! STOP WASTING YOUR TIME.


Kuna watu wanafanya biashara fulani, kila anapofanya, inafeli, imefeli mara ya kwanza, ya pili mpaka mara ya kumi. Kuiacha hataki kwa sababu anaamini kwamba kuna siku itaweza kumtoa kimaisha. Hapo kuna sehemu unafeli, kama kuna mtu anaifanya na kufanikiwa, basi jua wewe kuna tekniki fulani umeikosa. Kama umejaribu sana na kujaribu, umeshindwa na kufeli, Nigger! Stop wasting your time. Kama pesa inaruhusu jaribu kufanya biashara fulani na achana na hiyo unayoilazimisha itiki. Wakati mwingine unajua kabisa 4x4 ni 16 lakini wewe unataka kulazimisha iwe 20.
NIGGER! STOP WASTING YOUR TIME!
 
Kwahio na wale maskini tokea udogoni mpaka ukubwani unataka wajiuwe?? Manake wana matumaini ya kuishi lakini umaskini umewaganda. Au wachukuwe uamuzi upi??😳


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom