Usipumbazwe na muonekano wa nje, mahusiano yanaendeshwa zaidi na mfanano wa ndani

...And he Asked me kama najua kupika I was Like najua kupika Chai na maji ya kuoga, and nna Idea kua unapopika ugali haitakiwi uweke Nyanya na kitunguu, (Akatabasam)..... Itaendelea!!! RRONDO
 

bora useme ww, tukiandika nyuzi kutafuta wenza wanakimbilia kuuliza picha mbaka unashangaa uyu anataka miss tanzania au mke?
Unataka picha wakati nilazima tuonane, enewei nyama ziko chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…