Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Na wenye bikra mnaowaoa wanaenda kuvigawa humo humo kwenye ndoa😂Maneno mengi ya nini? Huna bikra ujue ni malaya mbwa, full stop.
Kama aliolewa akiwa Bikra mi nitajuaje?Na wenye bikra mnaowaoa wanaenda kuvigawa humo humo kwenye ndoa😂
Malaya wakiongozwa na mama ako kwani nae alikuzaa akiwa Bikra?
Ya kwangu umejuaje kama ya mamako huyajui? MxiewwKama aliolewa akiwa Bikra mi nitajuaje?
Kwani nimesema kuwa wewe siyo bikra? Nimesema kama unajijua siyo bikra na hujaolewa basi ni Malaya, bikra inatakiwa itolewe na mume. Sasa unakuwa mkali kwanini, au ndo ukieusha jiwe gizani atayelia ndo aliyepigwq na jiwe?Ya kwangu umejuaje kama ya mamako huyajui? Mxieww
Ndo nini hiyo?Redpill is the new religion.
Ni kutoka kwenye movie ya The Matrix ambapo main character "Neo" anaambiwa na "Morpheus" Mentor wake, achagua kati ya Bluepill abaki na ujinga wake kuhusu ulimwengu au achague Redpill ili aone uhalisa na ukweli mchungu wa ulimwengu wake.Ndo nini hiyo?
Chida kama chida ....you can be introduced mwanaume mwenzio as brother ake.Fanya makosa yote hapa duniani ila usioe mpare
Kumbe unawajua vizuri malaya sana haoChida kama chida ....you can be introduced mwanaume mwenzio as brother ake.
Ya mwanaume haina shida sana labda kama alikua upinde hapo ndipo itakua fedhea kwa mkewe mtarajiwa.
Aluta continuaAksnt kwa kuendelea kunitoa huku ninapopotelea...
Ok ahsanteNi kutoka kwenye movie ya The Matrix ambapo main character "Neo" anaambiwa na "Morpheus" Mentor wake, achagua kati ya Bluepill abaki na ujinga wake kuhusu ulimwengu au achague Redpill ili aone uhalisa na ukweli mchungu wa ulimwengu wake.
The Internet na men self-improvement community ikachukua huo msemo, na kugeuza maana yake kuwa Redpilled ni kuwa Mwanaume wa kujitegemea na kufocus kwenye maisha yako, ndoto zako na goals zako. Ikiwemo kutopelekeshwa na wanawake au kuwa zoba kivyovyote. Ni kujifurahisha wewe mwanaume kama wewe.
Na Bluepill kinyume chake yaani, ni kuwa mjinga, kuwa "Simp" msemo maarufu kwenye Self-improvement community. Yaani kushobokea wanawake na kutumiwa kama mpuuzi huku maisha yako yakiteketea. Kuna Blackpill vilevile.
Haya ni mambo ya vijana dunia nzima, au wanaita Gen-Z. Naona ambassadors wao wamefika na huku JF.
Yaani huu ujumbe nimeu bookmark kabisa. Huu utakuwa na kazi ya kuniongezea machungu ya kuwachukia wanawakeUsimuonee huruma mwanamke. Kama umemkuta hana bikira wewe piga piga piga piga piga piga halafu sepa, urembo wake ukuongoze kwenda nae kitandani sio altareni.
Trust me comreds, you can take her out of the street but you can't take street out of her. She is from street, by street, for the street, just drill and dump her to the street where she belong.
Wanaume wenzako sio chini ya watano walipita hapo wakakimbia kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao, kipi kinakufanya kuamini wewe utatoboa na uyo msimbe?
Usijaribu kuunganisha kioo kilichovunjika utaishia kujikata tu. She has been overused, demaged, destroyed, broken and traumatised, when it comes your turn just hit and run, don't try to fix her, you are not therapist.
Women are not fools, not forced, not innocents, not victims, they do shit stuffs intentionally, understood and willingly because they know even after destroy her womb by taking abortion pills dairly, end up being single mother, broke her ass virginity, have body counts more than population of China and done with that partying and hoing phase in her life, still there is a simp out there who will kneel down to put a ring on her finger, pay bride price and marry her, don't be that simp.
Don't be simp, don't be nice guy, don't be understanding man that will accept any rubbish into your life, don't skip her past in stupidity assertion of "past doesn't matter". Judge a woman harshly by her past for the sake of your future.
I rest my case.
Wewe ndo jinga kabisa hujui kituFanya makosa yote hapa duniani ila usioe mpare
Qmmqo😬Katika wote we ndo umeongea, wapare hata wanaume ni ovyo tu.
Mi nawaona sana, ubahili wa kichaga ni wa maendeleo, unaona Kabisa kaficha hela kafanyia kitu fulani, ubahili wa wapare ni wa kipumbavu Kabisa, haendelei, hapendezi, anakula makande kila siku, anaweza akafa na milioni ndani kwasababu ya kuona ubahili wa kununua dawa ya elfu kumi. Pia wanapenda kugongea vya watu ili vyao wavifiche, kwa upande wa wanawake nao ni ovyo, wanapenda bata za kutwgemea pesa ya wanaume, afu wengine ni Malaya mbwa.Qmmqo😬
Shangazi JiheshimuSasa unatakiwa uweke standards kulingana na uhalisia huwezi kuforce mambo we jamaa vipi, njia pekee ya wanawake kubaki na hizo bikira ni wanaume nao kukubali kutokufanya ngono hadi ndoa fullstop, uzuri mmoja wanaume wengi huwa hawashauriki kwenye haya mambo unaweza kukuta hata wewe mwenyewe tu hufuati hayo unayoyaandika humu kila siku
Kulikuwa na mwenzio humu wa kujiita jokajeusi kila siku alikuwa anaanzisha nyuzi za "usioe mwanamke asiye bikira", na nyuzi nyingine nyingi za kutukana wanawake tena nyuzi zake ziikuwa konki hizo zako hakuna kitu, mwanzo alikuwa anapingwa na wanawake kwa sana ila ilifika kipindi hadi wanaume wenzie wakamchoka kwa hizo nyuzi zake nao wakaanza kumpinga
Na hadi sasa jamaa kaacha kuanzisha hizo nyuzi kama siyo kupotea kabisa humu (labda kama yupo kwa id nyingine), kwahiyo hata wewe ni suala la muda tu we endelea kujifurahisha na hizi nyuzi zako masikini ya mungu ila itafika kipindi, utagundua wanaume hawashauriki linapokuja kwenye suala la mapenzi na ndoa na nakuhakikishia jamii haitakuja kuwa vile unawaza we amka tu kutoka kwenye huo usingizi wako
Mtoto wako mbona mweusi kama mkaaUtakuja kupata mke mbaya atakaekutesa maisha yako yote
Yaani anguko lako litakuwa ni mwanamke
Hutokaa upate furaha yoyote kutoka kwa mwanamke anzia Leo.hata awe binti yako
Nakulaani anzia Leo kwa niaba ya kizazi chote cha mwanamke.
Mark my words.
Labda usiambatane na mwanamke yoyote