Usipuuzie past ya mwanamke

Kimekukuta nini mkuu?
 
Nahusika na kila kitu hapa salaleee! πŸ˜€πŸ˜­πŸ˜­
 
Mwanamke kiumbe wa hovyo sana.. mimi nilikosakosa kuzindua mgodi (kula msichana bikra) bahati mbaya aliolewa na jamaa 100% jamaa ndo alitoa sealed ila mpka leo huyo manzi anicheki sana anataka nimle ndo alizike kwamba shule (ubize) wa kipindi kile ulifanya nisimle,.. kwahiyo jamaa licha ya kumla na kumuoq ila bado anataka nami.. kutoa bikra hakufanyi awe wako pekeako mkuu hawa watu sio poa.
 
Ofcourse exception cases zipo. Hakuna namna italeta jibu sahihi kwa 100% kwaiyo tunaangalia namna yenye ufanisi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…