Usipuuzie past ya mwanamke

Naona unajitetea indirectly. Ulivyoonjwa ulibakwa?
 
Acha vitisho vya kijinga na kitoto
 

kuna mwamba ameandika humu:

Mwanamke, ima umuelewe, ima umpende, sio vyote!

Mimi kama MwanaFA kwa mabinti...damu damu
 
kuna mwamba ameandika humu:

Mwanamke, ima umuelewe, ima umpende!

Mimi kama MwanaFA kwa mabinti...damu damu
Tuko na watu wetu si kwasababu we are perfect kama huyo mwanamke anayechorwa na mleta mada, ila ni sababu ima wanatuelewa au wanatupenda kweli.

Nami nimemuelewa huyo uliyemnukuu.
 
Sina hakika na ubaya wa genye kati ya me na ke zipi ni kali.

Lakini ni kweli kuwa we are doing everything for funny, We are not victims, hakuna sehemu ambayo tumesema we are.

It’s free world, our genye our bodies.

Atakayepata mume sawa, asiyepata sawa…..Mleta mada alishasema anaamsha hisia za wanaume wenzie ili waishi kwa standards.

Tatizo ni kwamba mapenzi hayashauriki, kila leo watu wanapendana, wengine wanaachana, wengine wanafunga ndoa, wengine wana divorce, Hakuna siku dunia itaishi kwenye mstari ulionyooka… Hiki ndicho opponents wa mleta mada huwa tunajaribu kumwambia mara nyingi.

Kila mtu ataishi kwa amani akifahamu reality ninini akaacha kuwa delusional.
 
Tuko na watu wetu si kwasababu we are perfect kama huyo mwanamke anayechorwa na mleta mada, ila ni sababu ima wanatuelewa au wanatupenda kweli.

Nami nimemuelewa huyo uliyemnukuu.
Mapungufu kila mtu anayo kwenye mahusiano suala la kusaidiana lipo tu kwaiyo lazima pesa itamtoka mwanaume lakini kuna ile misingi ambayo hautakiwi kuipuuza. Bila shaka hata wewe hautafurahi kaka yako au mtoto wako wa kiume akioa kahaba mstaafu ambae baada ya kufanya anasa na ufuska wote na kuona umri unaenda ameamua kutafuta pa kujiegesha
 
Kuna code nyingi sana ambazo mwanaume amefungwa ili anyonywe. Mwanaume akizifungua izo code na kutumia logic angalao idadi ya simps itapungua, ofcourse simps hawawezi kuisha kabisa lakini angalao watapungua.

Najua kwa kiasi fulani unatetea mfumo uliopo kwa sababu mwanamke ni mnufaika, uenda siku msala ukiangukia kwenye nyumba yako utapata somo
 
Kumbuka, hapa wapo waliotoa bikra zaidi ya moja na hawataki kuoa ambaye sio bikra.

Hao ni mama zetu tusiwafanyie hivyo
 
Inaonekana kuna ongezeko kubwa la wanaume dhaifu kama mleta mada. Maandiko kama haya ni mengi sana mtandaoni. Kupoteza muda kuweka standards za kuishi na mwanamke ni kupoteza muda. Kama mwanamke hataki au anazingua si unaachana naye na kuhamia kwa mwingine? Mwanaume wa kweli hawezi kulialia kisa mwanamke. Hata ikitokea umesalitiwa ni kuvunga tu na kupotezea na sio kulialia na kuja JF kuandika ushuzi. Hoja ya lazima kuoa bikira ina mashiko ila tupo kwenye nyakati ambazo bikra ni adimu.. pia moyo ukishapenda huwa hakuna chochote cha kuzuia watu kuwa pamoja.

Mleta mada na wenzako wanaokuunga mkono inabidi mpate teuzi huko CHAPUTA. Mwanamke ni pambo la dunia. Bila wao hii dunia ingekuwa sehemu ngumu sana kuishi. Raha ya papuchi haielezeki na haizoeleki.
 
Don't be stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…