Usipuuzie past ya mwanamke

Kumbuka, hapa wapo waliotoa bikra zaidi ya moja na hawataki kuoa ambaye sio bikra.

Hao ni mama zetu tusiwafanyie hivyo
Mi ndomaana nikasema mwanaume ukimpata bikra muoe, kama unajua hutamuoa, usiitoe hiyo bikra. Mwachie atayemuoa
 
Mbona raha ya dudu husemi, si wote wanapata raha? Kwani ni . mmoja tu ndo anatoa raha kwa mwenzake?
 
Badili jina JF, maana inaonekana bado unatafuta ajira.
Jina ilo limeshazoeleka, wanaoni-tag kwenye mada ambazo wanafikiri naweza kutia neno watapata shida kunipata
 
Hivi ukijua mwanamke ni michezo lakini ukakausha ili uwe unajipigia tu. Is it equal to simping?
 
Fala ilo jamaa, hayo ndo masimp yanayofikiri kudate na mwanamke ni kufanyiwa favor.
Tujiulize mbona wakipandisha wanyama, wamilimki wa madume ndo wanalipwa??

Kisayansi mwanamke ndo anapata utamu kwenye kugegedana kuliko mwanaume, japo ndo hivyo sisi ndo tunawagharamia, kutafuta Mali, tunakufa mapema na wake zetu ndo wanarithi.
 
Hivi ukijua mwanamke ni michezo lakini ukakausha ili uwe unajipigia tu. Is it equal to simping? 😄
 
Tuko na watu wetu si kwasababu we are perfect kama huyo mwanamke anayechorwa na mleta mada, ila ni sababu ima wanatuelewa au wanatupenda kweli.

Nami nimemuelewa huyo uliyemnukuu.
100%
 

Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    15.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…